Jamani nisaidieni nitoke hapa tarime nihamie bunda kikazi!

Jamani nisaidieni nitoke hapa tarime nihamie bunda kikazi!

Sweet Apple

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Mimi mwalimu wa sekondari. Nimeajiriwa mwaka huu wilayani TARIME. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili nihamie wilayani BUNDA. Naombeni msaada jamani...!
 
Hiyo ni ndani ya mkoa chonga na Afsa Elimu upo Tarime Sehemu gani?
 
Back
Top Bottom