Saidyahyasultan
Member
- Dec 2, 2012
- 67
- 21
Habar zenu jaman mm naitwa Said yahya wa Zanzibar naomba msaada wa hili nililonalo....;
jamn mm nna tatizo la kimwili yaan kam nitafanya mapenz na mpenz wang kabla cjafanya mapenz wakat na mchezea chezea ss wakat nataka kumtia ule uume nahis uume wote ume lala tatizo nn?
Ufunike shuka na ushushie chandarua!!
Yani wew.........Ufunike shuka na ushushie chandarua!!
Sijui mimi nina tatizo gani jamani.Mbona nachukia sana watu wanaodharau na kuleta mizaha kwenye matatizo ya watu?
Lakini si kuna majukwaa mengine humu,kwanini mzaha unaingia hadi huku kwa wagonjwa jamani?
Anyway,lakini ndio aina ya watu tulionao ktk jamii yetu siku hizi.
Yani wew.........
Mwanzoni hii thread ilikuwa Chitchat, so do the maths....
Angalia hata mod Meezy wa CC hapo juu alitoa angalizo la kuihamisha....
Pia angalia post ya Baba V, when u'r in CC perception ya seriousness ni tofauti na majukwaa mengine, hivyo mleta thread ndiye aliyekosea in a first place...
Btw ushawahi kuona nafanya mzaha jukwaa lolote lenye kuhitaji weledi?
Sawa,nimekuelewa ndugu.
Unaonaje kama uki-edit basi ili usionekane tofauti na wachangiaji wengine wa mada hii?
Heheehahah mpendwa awali hii thread tuliletewa kule nyumbani kwa stresa free...
Thanks alot 4 yor gud advice.
But naomba niwaulize kitu hivi kwani kila mada unayotoa ina mabango yake?
Na hii jf haina mlio km umetoka online yaan kama humo hakuna ujumbe unaokwambia kua una comment umetumiwa?