Jamani nisaidieni........!

Jamani nisaidieni........!

Joined
Dec 2, 2012
Posts
67
Reaction score
21
Habar zenu jaman mm naitwa Said yahya wa Zanzibar naomba msaada wa hili nililonalo....;
jamn mm nna tatizo la kimwili yaan kam nitafanya mapenz na mpenz wang kabla cjafanya mapenz wakat na mchezea chezea ss wakat nataka kumtia ule uume nahis uume wote ume lala tatizo nn?
 
Mkuu ni hivi, viungo vya mwanadamu huwa vinatawaliwa na ubongo.
Maamuzi ya ama kufanya ngono au kutokufanya pia hutokea kwenye ubongo kwa ushirikiano wa baadhi ya vichocheo.
Ili uume usimame unahitaji kujazwa damu ambayo ndiyo inaufanya uwe mgumu.
Sasa hiyo ni hatua ya kwanza ya maandilio ya tendo la ngono ambayo hufanywa na akili.
Hatua nyingine ni mtu kuwa tayari, yaani kuwa na nia ya kutaka kungonoka.
Pindi utakapoanza kuweka uoga au wasiwasi pale tu unapotaka kungonoka kuna wasiwasi wa kuufanya mtalimbo wako uende doro.
Pili, kuna uwezekano hapo awali ulikua unafanya sana masterbation na sasa umeacha.
Watu wengi wa namna hii huwa na wakati kusimamisha wanapokutana na mwanamke faragha.
Hivyo tuliza mawazo yako na uache kufanya masterbation.
 
Habar zenu jaman mm naitwa Said yahya wa Zanzibar naomba msaada wa hili nililonalo....;
jamn mm nna tatizo la kimwili yaan kam nitafanya mapenz na mpenz wang kabla cjafanya mapenz wakat na mchezea chezea ss wakat nataka kumtia ule uume nahis uume wote ume lala tatizo nn?

Kie kie kie Said inaonyesha hujaacha mchezo wa kutetemeka ( puchu) usijali huo sio uganjwa.

Itakuchukua mda kidogo kurudi ktk hali ya kawaida. Ushuri wa bure.
-acha puchu mara moja
- tumia ulimi kumridhisha mwenza wako mpaka pale mpini utaporudi kazini 100%

Aiseeeee!!!

Sent from my EyePhone
 
Ufunike shuka na ushushie chandarua!!

Sijui mimi nina tatizo gani jamani.Mbona nachukia sana watu wanaodharau na kuleta mizaha kwenye matatizo ya watu?
Lakini si kuna majukwaa mengine humu,kwanini mzaha unaingia hadi huku kwa wagonjwa jamani?

Anyway,lakini ndio aina ya watu tulionao ktk jamii yetu siku hizi.
 
Acha uwoga pia weka mawazo kwenye kile unachofanya
 
Mwanzoni hii thread ilikuwa Chitchat, so do the maths....
Angalia hata mod Meezy wa CC hapo juu alitoa angalizo la kuihamisha....
Pia angalia post ya Baba V, when u'r in CC perception ya seriousness ni tofauti na majukwaa mengine, hivyo mleta thread ndiye aliyekosea in a first place...
Btw ushawahi kuona nafanya mzaha jukwaa lolote lenye kuhitaji weledi?

Sawa,nimekuelewa ndugu.
Unaonaje kama uki-edit basi ili usionekane tofauti na wachangiaji wengine wa mada hii?
 
Thanks alot 4 yor gud advice.
But naomba niwaulize kitu hivi kwani kila mada unayotoa ina mabango yake?
Na hii jf haina mlio km umetoka online yaan kama humo hakuna ujumbe unaokwambia kua una comment umetumiwa?
 
Ukiwa hapa kila wazo unalotaka kulotoa linapaswa kuwekwa sehemu mahususi.
Ni kama ilivyo shuleni tu, kila somo lina daftari lake kulingana na maudhui ya somo.
Kama wewe ni mgeni jaribu kusoma na kuzielewa za taratibu JF ili wakati mwingine isikuwie vigumu.
JF inatoa noticifications ambazo ni zile za jukwaani pekee, yaani yakupasa u-log in katika desktop version kuweza kuziona. Hadi sasa hakuna taarifa kwa mtindo wa sauti.
Kama umeanzisha thread ni vyema ukai-track thread yako manually.

Back
Top Bottom