Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mkubwa jamani
Aiseee baba yangu msishangilie kwanza mmaweza kuta hampati boom na ada ni m 1 na nusu mkaja tena humu janvini mnalia
ngoja nipate mbege mie
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa
ze duduz acha kutuchora we sema tu ulkua unataka ujue wadau ambao nao wamekosa
kwa iyo unamaanisha am not admitted ryt??
Aiseee baba yangu msishangilie kwanza mmaweza kuta hampati boom na ada ni m 1 na nusu mkaja tena humu janvini mnalia
ngoja nipate mbege mie
kijana unakaba adi penati...afu wadau mimi nilivyoingia kwa mara ya kwanza nilikuta hili neno " admitted1 " baadae kidogo nilivyolog in tena nikakuta " you are admitted " sasa kwenye hiyo admitted1 nadhani walikuwa wanamaanisha ya kuwa " nitakuwa nimechaguliwa kwenye ma first priority course... Je kuna mtu yeyote ali notice hicho kitu kabla ya kuandikiwa " you are admitted "
kama kawa kama dawa...post ndo utata..ni kufumania nyavu mwanzo mwisho hapo hakuna fair play vp mkuu uliona kitu kama hicho