aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 8,724
- 24,474
Wadau!
Mimi nipo kijijini, na mayai yanauzwa kwa wastani wa Tshs 250 mpaka 300.
Sasa nahitaji mtu tufanye hii biashara.
Yaani mimi nimkusanyie Mayai huku kijijini, na nimpelekee mjini.
Ambapo yeye nitamuuzia kwa maelewano (bei haitazidi 500).
Kwasasa, ningependa mtu huyo awe Kigoma mjini, maana usafiri wangu unafika hapo.
Nadhani mpaka hapo nimeeleweka!
0744472252 ni namba yangu.
wadau tusaidiane katika mawazo kama haya ya maendeleo.