Jamani njoeni "Tukazuane Vyuma" Nauza mayai kwa Tshs 300 Tu.

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,724
Reaction score
24,474
Wadau!

Mimi nipo kijijini, na mayai yanauzwa kwa wastani wa Tshs 250 mpaka 300.


Sasa nahitaji mtu tufanye hii biashara.


Yaani mimi nimkusanyie Mayai huku kijijini, na nimpelekee mjini.
Ambapo yeye nitamuuzia kwa maelewano (bei haitazidi 500).


Kwasasa, ningependa mtu huyo awe Kigoma mjini, maana usafiri wangu unafika hapo.

Nadhani mpaka hapo nimeeleweka!
0744472252 ni namba yangu.


wadau tusaidiane katika mawazo kama haya ya maendeleo.
 
Mayai yapck vzuri safirisha Dar huko ndo kuna watu watanunua na biashara utafanya vzuri
 
Subiri MUHUTU akija KIGOMA anaweza akashika Microphone akanunua Mzigo wa Mayai Wote.
 
Sasa kaka hyo dp yako. Hayo ni matako au
 
leta dar watu wanakula chips mayai sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…