Daaah pole mie kuna zile Chapati za wale Jamaa wa Freemaso aiseee haziivi kabisa, michapati mikubwa ila mibichi ukiilaKero yangu siku ya leo ni nyie mama ntilie, nianze kwa kudiclea interest kwamba mnatusaidia sana kutuhifadhi mjini kwa kutupatia shibe kwa bei chee, ila nimegundua mna tatizo sugu la kutoivisha chapati, yaani nyie chapati ikibadilika rangi kidogo tu mnaipua kwani munawahi wapi? Tukiharisha mnatutelekeza, nadhani kuna haja ya mugambo au polisi kuingilia kati ikibidi wasimamie upishi wa vyapati. Nawasilisha!!!View attachment 509502
Salute to my mom.
She was mamantilie na amemanage kutupeleka shule wanae tukasoma and now tunaendesha maisha yetu.
Anaumwa sasa she is diabetic hawez kufanya zile kazi tena.
Ila asante sana nakuombea alwayz upewe maisha marefu uenjoy matunda ya wanao am proud of you mom.
Mkuu usiwaseme huku hao watu waeleze pale pale ukweli ili wajirekebishe waivishe hizo chapati.
Usiache kwenda kula kwao kwa sababu hiyo mia tatu yako ndio inamsaidia yeye kuendesha maisha na kupeleka watoto shule.
Kama una idea nzuri wape waboreshe kazi
Najivunia mama angu kuwa na kazi ile na mwisho nitafungua mgahawa kama kuendeleza harakati zake ingawa utakuwa ni wa kisas
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hujajibu kabisa swali lake. ameuliza ni kwa nini hawaivishi chapati ungeweza kujibu tu swali ikawa inatosha. maelezo mengine hayakuwa na umuhimu maana hakuuliza mama yako alikuwa anafanya nini au sasa anafanya nini. ndugu yangu tujifunze kuelewa swali na kujibu na si kuanzisha maswali mengine.inawezekana mama yako alijitahidi kukupeleka shule ila hukuzingatia sana masomo.
Nisamehe mkuu ni uelewa kwa uelewa wangu mdogo nilio naohujajibu kabisa swali lake. ameuliza ni kwa nini hawaivishi chapati ungeweza kujibu tu swali ikawa inatosha. maelezo mengine hayakuwa na umuhimu maana hakuuliza mama yako alikuwa anafanya nini au sasa anafanya nini. ndugu yangu tujifunze kuelewa swali na kujibu na si kuanzisha maswali mengine.inawezekana mama yako alijitahidi kukupeleka shule ila hukuzingatia sana masomo.
Nisamehe mkuu ni uelewa kwa uelewa wangu mdogo nilio nao
Lakini kama umesoma vizuri katikati nimemwambia awaambie kwa sababu humu hawamo so akija kuandika huku ni like nothing
Kingine huku ni jukwaa huru akileta maada mtu anaweza kujadili maada hiyo anavyotaka na jupenda yeye ilmeadi tu asivunje sheria za Jf.
Haswa,shurti uipike kwa samlichapat ina ufundi wake bwan
hahaha mkuu kama ulikuwa akilini mwanguTena siku hizi chapati zinakua nyepesi, unaweza kumuona mtu upande wa pili..!!