Jamani nyie mamantilie mbona hamuivishi chapati?

Sawa kijana tumekusikia,tumekuelewa tutajirekebisha. Kuanzia kesho njoo utakula chapati zilizoiva vizuri kabisa!
 
Vipi upishi wa chapati paprika? Na wewe wamo?
Yaani ndo chakula nilichobobea tokea utotoni... Nikikanyaga kwa ndugu tu, iwe asubuhi au jioni watataka niwatengenezee chapati.... Na napenda kweli kuzipika.
 
Jamani Paprika hapo umenikwatua moyo wangu,chapati ndio maradhi yangu mwenzio,fanya mpango nije kuonja hayo mapishi [emoji23]
 
Usihofu!!! Ntakualika!!! Unapendelea chapati kwa chai/ chapati kwa rost ya maini/ chapati kwa maharage au njugu mawe ?
 
looh ktk hili umenifanya nikose la kuchagua,chochote kitakachokuwa rahisi kwako kuandaa with passion utakuwa mlo wa kipekee kwangu as long as chapati zipo pembeni,Whats your take? Maharage ya nazi ,Njugu mawe [niliikuta kondoa hii] au rosti ya main? Au mbaazi za maziwa " I be there to assist you
 
Sema unakaa wapi watu wakuelekeze ni wapi utakula chapati nzuri.
 
Yaani ndo chakula nilichobobea tokea utotoni... Nikikanyaga kwa ndugu tu, iwe asubuhi au jioni watataka niwatengenezee chapati.... Na napenda kweli kuzipika.
Ukija kunitembelea unikaangie za mayai
 
Ishu ni kwenye kukanda unga au wametumia moto mkali chapati inahitaji moto mdogo iive taratibu

Waambie tu utakuwa umewasaidia sana kwani niwaelewa
 
hofu yangu ni ukandaji wa unga,mara nyingi hukanda kwa haraka haraka
 
Back
Top Bottom