Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi upishi wa chapati paprika? Na wewe wamo?Ungemwambia huyo mama ntilie alie kulisha chapati mbichi ingefaa zaidi...
Yaani ndo chakula nilichobobea tokea utotoni... Nikikanyaga kwa ndugu tu, iwe asubuhi au jioni watataka niwatengenezee chapati.... Na napenda kweli kuzipika.Vipi upishi wa chapati paprika? Na wewe wamo?
Tukiharisha mnatutelekeza, nadhani kuna haja ya mugambo au polisi kuingilia kati ikibidi wasimamie upishi wa vyapati.
Jamani Paprika hapo umenikwatua moyo wangu,chapati ndio maradhi yangu mwenzio,fanya mpango nije kuonja hayo mapishi [emoji23]Yaani ndo chakula nilichobobea tokea utotoni... Nikikanyaga kwa ndugu tu, iwe asubuhi au jioni watataka niwatengenezee chapati.... Na napenda kweli kuzipika.
Usihofu!!! Ntakualika!!! Unapendelea chapati kwa chai/ chapati kwa rost ya maini/ chapati kwa maharage au njugu mawe ?Jamani Paprika hapo umenikwatua moyo wangu,chapati ndio maradhi yangu mwenzio,fanya mpango nije kuonja hayo mapishi [emoji23]
looh ktk hili umenifanya nikose la kuchagua,chochote kitakachokuwa rahisi kwako kuandaa with passion utakuwa mlo wa kipekee kwangu as long as chapati zipo pembeni,Whats your take? Maharage ya nazi ,Njugu mawe [niliikuta kondoa hii] au rosti ya main? Au mbaazi za maziwa " I be there to assist youUsihofu!!! Ntakualika!!! Unapendelea chapati kwa chai/ chapati kwa rost ya maini/ chapati kwa maharage au njugu mawe ?
Usiogope ni 250- 500 mwisho we watajie wana wapi chapati nzuri zinapatikanaSasa hizo sehemu zenu ntaziweza, mimi bajeti yangu ni chapati za mia2 mia2
[emoji57][emoji57][emoji57]Ukija kunitembelea unikaangie za mayai
hofu yangu ni ukandaji wa unga,mara nyingi hukanda kwa haraka harakaIshu ni kwenye kukanda unga au wametumia moto mkali chapati inahitaji moto mdogo iive taratibu
Waambie tu utakuwa umewasaidia sana kwani niwaelewa