jamani open university

jamani open university

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
778
Reaction score
269
naombeni mnieleze usomaji wa open university je kuna full lecture faida na hasara zake please niko serious nataka nkachukue BBA msinikashifu
 
Sidhan kama huwa kuna full lecture pale open,ila naskia msuli wao tyt sana mkuu!!
 
Sidhan kama huwa kuna full lecture pale open,ila naskia msuli wao tyt sana mkuu!!
lectures zinatolewa kwenye mannuals. lakini wana mannuals nzuri sana. Kama una tatizo sehemu unaweza ukamtafuta mwalim wa somo na ukauliza. Huwa wanatoa ushirikiano sana kama unauliza kitu cha maana. Na kuna wakati wa face to face huwa mnakutana na walimu wa masomo mbali mbali ambapo pia unaweza kuuliza. Wengi huwa wanaorganize groups halafu wanatafuta waalimu wanawapa lectures kwa kuchangishana kiasi fulani kutokana na mlivyopatana na huyo mwalimu. Otherwise kama una nia ya kusoma unamaliza na unafanya vizuri kama vyuo vingine. Lakini ni bidii yako na uwezo wa kujisomea hizo lectures zao peke yako. Tena kama BBA naona ni kozi ambayo watu wengi humaliza haraka. usife moyo "it is worth it" Kila la heri
 
naombeni mnieleze usomaji wa open university je kuna full lecture faida na hasara zake please niko serious nataka nkachukue BBA msinikashifu

Hakuna lectures hata kidogo. Ni juhudi yako tu au na kundi lako la kujisomea. kama alivyosema mchangiaji hapo juu, kuna manuals nzuri sana zinasaidia kukuongoza for more readings. tatizo ni kupata text books otherwise get registered you will enjoy university education. From last year hata hizo manuals zitakuwa nadra kuzipata, maana all instructions are now full on line. face to face ni kuhakiki kama kweli umejiandaa kuweza kufanya mitihani. Inafanyika a few months one or two before exams.
 
jamani asanteni kwa kufunguka ila ukiwa serious c unafaulu with flying colours fungukeni jamani
 
Hili la kulazimishwa kulipa ada ,mapema na kupigwa faini ya tshs 20,000/= hazikunifurahishwa.mabadiliko yoyote lazima yawe yamepitishwa nja wanafunzi wapewa muda wa kujiandaa. Hili limetoka wapi?rekebiheni hilo open hii ni taasisi ya kkitaaluma na mambo ya kitaaluma yana utaratibu wake
 
kulipa ada mapema kivipi
huwa tunalipa kwa instalment na tunabanwa tuu pale tunapoingia kwenye chumba cha mtihani kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi bongo na ukuzingatia hali mbaya ya uchumi sasa nimeona bango linalosema tarehe 21.03.2012 ni mwisho ukichelewa unalipa fidia ta tshs 20,000/ hii sijawahi kuiona kabla.nadhani umenielewa
 
jamani asanteni kwa kufunguka ila ukiwa serious c unafaulu with flying colours fungukeni jamani
OUT ni light training. There is no academic rigour. University education is more than classroom work. Interactions outside the classroom are most as important as bookish work. You are not a complete graduate if you lack campus experience, i.e. campus politics, inaugural lectures, research dissemination lectures, etc. OUT is for retired officers.
 
Mkuu una mawazo ya kizamani kweeli.Dunia nzima sasa hivi ianeelekea kwenye open and Distance learning.kiaje?Ni rahisi kama unavyochangia hapa JF na unaelewa mada.Nani hayo yote uliyoyataja sijui ianauguration lecture,sijui research vipo OUT tena kwa kiwango cha lami sio cha changarawe za kupewa concentration area na kuingia na videsa kwenye vyumba vya mitihani.Amini akili yako na usiji limit kuwa bila spoonfeeding huwezi kusoma.Najua watu wengi hutia mguu OUT na baada ya kuona maji marefu wanalala mbele na maneno yao ni kama hayo yako eti "retired officers" badili mtazamo wapo vijana wengi zaidi ya wazee out na soko la ajira kwao ni jeupe sana kwani ni watu waliojisomea wenyewe wana confidance na kile wanachokijua.Wewe bahatika kuchart na mtu aliyesoma OUT utashangaa anajua mambo lukuki na utaweza kushindwa kuelewa amesomasamaje.
 
jamani aliyesoma na anayesoma kwa sa hivi please aniPM im more than serious
 
Back
Top Bottom