asikudanganye mtu botswana sasa hivi hapakaliki, miaka michache iliyopita walikuwa na uhaba mkubwa sana wa wataalamu lakini walianzisha program moja kabambe ya kuwasomesha watu wao, kuanzia 2005 mpaka leo hii wameshasomesha watu zaidi ya 100,000 na wengi wamemaliza mwaka jana na wengine wengi zaidi wanamaliza mwaka huu. Waliomaliza mwaka jana wengi bado hawajarudi kwao c'se wanapenda sana starehe za nje. govt yao imewasomesha kwenye vyuo bora duniani europe, america na asia kwahiyo wewe ukienda na degree yako ya udsm watakushangaa
kwakifupi botswana imeanza kuwa na tatizo la ajira c'se wasomi ni wengi halafu nchi yenyewe population yake haizidi milioni 2