Joyce julius
Member
- Mar 24, 2017
- 7
- 6
Samahani. kwani kuna ulazima kujitambulisha? kwenye sim huwa nashindwa quote hadi nitumie compyuter sijui ndio sababu, na tatizo ili ni ghafla tu. ila samahani kwa swaliKarib san
Hakun ulazima ni wew tu na uamuzi wakSamahani. kwani kuna ulazima kujitambulisha? kwenye sim huwa nashindwa quote hadi nitumie compyuter sijui ndio sababu, na tatizo ili ni ghafla tu. ila samahani kwa swali
Thanx aloat guyz kwa kunipokea.
Ebwana eeeh sasa wewe wa April 4 unataka kumuonyesha mwenzio wa May mazingira, mazingira gani hayo?[emoji23]sasa nipe namba yako niwe nakufanyia orientation si unajua website pana hii na pia nikuonyeshe onyeshe mazingira