Jamani pokeeni mgen.

Jamani pokeeni mgen.

Karib san
Samahani. kwani kuna ulazima kujitambulisha? kwenye sim huwa nashindwa quote hadi nitumie compyuter sijui ndio sababu, na tatizo ili ni ghafla tu. ila samahani kwa swali
 
Samahani. kwani kuna ulazima kujitambulisha? kwenye sim huwa nashindwa quote hadi nitumie compyuter sijui ndio sababu, na tatizo ili ni ghafla tu. ila samahani kwa swali
Hakun ulazima ni wew tu na uamuzi wak
 
sasa nipe namba yako niwe nakufanyia orientation si unajua website pana hii na pia nikuonyeshe onyeshe mazingira
Ebwana eeeh sasa wewe wa April 4 unataka kumuonyesha mwenzio wa May mazingira, mazingira gani hayo?[emoji23]
Sema ukweli.
 
Mgeni tukupokee wapi?
Stesheni? Stendi ya Mkoa Ubungo? Airport? Au Bandarini?
 
Back
Top Bottom