Jamani sehemu gani nzuri ya kuishi mkoa wa Mbeya?

Jamani sehemu gani nzuri ya kuishi mkoa wa Mbeya?

Nafikiri kitakachokufanya uwe huru ni bajeti ya pesa ulionayo mfano kuna maeneo kama "iwambi,ituta,itezi,isesye,Forest mpya block m,new project iziwa.
Hayo maeneo unaweza kupata uwanja lakini ni gharama kidogo
But karibu sana jijini kwetu
Jamani nisaidieni natafuta makao mwenzenu.
 
Back
Top Bottom