Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ubora wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida mkuuKwenye ubora wako
Njoo Kisemvule kwa mpika makande. Ukifika uni PM, nita kufuata kituo cha daladala.Ndugu zangu Waislamu issue ya Pasaka wenyewe mliona Covid-19 ilikuwa imechanganya, lakini hii Eid si mnaona hata mipira imeanza...tufanyiane wepesi basi leo mchana. Dini zinakataza visasi
😂😂😂😂😂
Nitajitahidi japo itakuwa ngumuJitahidi urudi uendelee kuikamatia namba 1 yako kwenye kila uzi, mwanzo mwisho!
Nashindwa kuelewa walikuwa wanatubu madhambi yote ila haka kakulipza kisasi wamekasahau sijuiNaunga mkono hoja mambo ya kusingia COVID19 sio mpango nasubri mualiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo wapi huko mkuu tutie timu..mbagala au??Njoo Kisemvule kwa mpika makande.
ukifika uni PM, nita kufuata kituo cha daladala.
Kwangu wife ana andaa Msosi wa kimataifa (Alisomea mapishi ngazi ya Degree).
Ni mbele ya mbagala.Ndo wapi huko mkuu tutie timu..mbagala au??
Sawa mkuu...limit watu wangapi au mleta mada tu?Ni mbele ya mbagala.
Zipo daladala " Kariakoo -Kisemvule.