lazima imuhusu mkuu, kuna harufu ya Inflation hapoHaina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!
Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!
Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.
Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
Ingia kisha tupia vi screen shots kadhaa.Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
propesa....
Mpumbavu sana wewe, BoT hawaja update angalia international currency exchange online uone, unadhani hao BOT wana ubavu kuchange changes..www.bot.go.tz
Ingia bot kuuza ni tshs 2,225.52 na kununua ni tshs 2,247
Inabidi Raisi haruhusu more exportation ryt now kustabilize ze situation....makinikia ambayo tayar wameingia mikataba upya yaruhusiwe kusafirishwa uku wakijenga kiwanda.....wakulima wagewe vibali vya kuuza mazao nje ya nchi kma mvua ili kuongeza exportation e.t.cKwa waliongalia trend ya shilling yetu dhidi ya dola inashuka balaa kuanzia jioni hiiView attachment 623497View attachment 623498View attachment 623499View attachment 623500
Watu wenye uelewa na hii hali watusaidie jamani.
Je hii haina madhara katika uchumi wetu?
Mkuu watu wa forex wanaexchange kwa rate ya 2500+, ila kwa sisi tuliopo huku porini ndio tunatumia 2200+.Hivyo kuna watu wanatajirika kwa kufanya forex tradeHuwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama ndo wachumi wenyewe ndo Hawa. Acha dola ipande
Endelea kushangaaNilitaka kushangaa imepandaje faster namna hii
Mpaka kufikia 2500
Ungekaa kimya ungeonekana una busara sana kuliko upumbavu uliouandika hapa. Huo mchele na sembe unakuja na upepo. Kupanda kwa dolar tegemea bidhaa zote tunazoagiza kutoka nje kupanda bei tukianza na mafuta ambayo ndo yatasafirishia hiyo sembe na mchele, vifaa vyote vya electronic na bidhaa zingine zitapanda beiHaina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!
Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!
Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.
Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
Peteol ishapanda kwa 45tzs.... ngoja tusubir.Kwani navyo (mchele/sembe) haviwezibkupanda kupitia hili??