Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
 
Haina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!

Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!

Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.

Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
lazima imuhusu mkuu, kuna harufu ya Inflation hapo
 
Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
Ingia kisha tupia vi screen shots kadhaa.

Vita ya uchumi means you hit them they pound you heavily.
 
2325e11740a7a280023b276ea971521e.jpg
propesa....
 
Ni kweli kabisa thamani ya pesa yetu inashuka.Nataka nielezee utofauti kati ya exchange rate ya zaidi ya 2500+ na hii inayotolewa ya 2200+.
Uchumi unabadilika kila sekunde hivyo hadi kufikia sasa thamani ya shilingi yetu imeporomoka mpaka kufikia 2500+(Real time exchange rate). Bei hii ndio inayotumika kufanya FOREX trade.Kwa hiyo watu walionunua dola tsh 2200 now wanaiuza kwa tsh 2500+(faida, watu wa forex wanafurahia kupata faida Ila uchumi wetu unashuka)
Hii bei elekezi ya tsh 2200+ inayotolewa haipo updated (pengine ipo nyuma kwa miezi kazaa)Vile vile wanasimamia bei hii ili kuzuia mfumuko wa bei (haiwezekani Leo 2200 kesho waseme 2500),Ila kiuhalisia thamani ya shillingi yetu inaporomoka kwa kasi.
Note:Haya ni mawazo yangu tu,Mimi sio mchumi,wenye uzoefu na hili watuongezee ujuzi
 
Kwa waliongalia trend ya shilling yetu dhidi ya dola inashuka balaa kuanzia jioni hiiView attachment 623497View attachment 623498View attachment 623499View attachment 623500

Watu wenye uelewa na hii hali watusaidie jamani.

Je hii haina madhara katika uchumi wetu?
Inabidi Raisi haruhusu more exportation ryt now kustabilize ze situation....makinikia ambayo tayar wameingia mikataba upya yaruhusiwe kusafirishwa uku wakijenga kiwanda.....wakulima wagewe vibali vya kuuza mazao nje ya nchi kma mvua ili kuongeza exportation e.t.c
 
Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
Mkuu watu wa forex wanaexchange kwa rate ya 2500+, ila kwa sisi tuliopo huku porini ndio tunatumia 2200+.Hivyo kuna watu wanatajirika kwa kufanya forex trade
 
Aiseeee huwa nawahurumia wanaochajiwa kwa dollar
 
Mleta UZI ni mchochezi,akichukuliwa hatua aanze kulaumu serikali
 
TZS rate on bloomberg is an error. BoT will be issuing a statement to confirm the same. Please keep calm and anyone who asks to be calm
 
Haina madhara kwa Masikini kama wewe...!
Kwanza huna hata akiba ya Pesa Benki, mshahara wote wa October umekwisha lipia Madeni...!

Dola ya Kimarekani, imewahi kuwa sawa na Shilingi mia moja ya Tanganyika...!!

Umepata Madhira gani Kiuchumi mpaka sasa.

Shukuru Mchele na Sembe ama Ngano, vingali na bei ileile...!
Ungekaa kimya ungeonekana una busara sana kuliko upumbavu uliouandika hapa. Huo mchele na sembe unakuja na upepo. Kupanda kwa dolar tegemea bidhaa zote tunazoagiza kutoka nje kupanda bei tukianza na mafuta ambayo ndo yatasafirishia hiyo sembe na mchele, vifaa vyote vya electronic na bidhaa zingine zitapanda bei
 
Back
Top Bottom