Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nilijua tu! kama kichwa chako hakina kitu kingine cha kuwaza endelea kuwaza huo ujinga!Nimewaza haraka mno kuhusu FOREX
Kwahyo unafurahia au?wabongo was.enge kwel,tunaiombea njaa nchi yetuIngia kisha tupia vi screen shots kadhaa.
Vita ya uchumi means you hit them they pound you heavily.
Yupo JerryUchumi ndo una panda hivyo.
Lumumba tunaomba mjibu hoja kwa niaba ya mwenyekiti wenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Jerry na uchumi wapi na wapi?Yupo Jerry
Masoko yana tofautianaMimi nimechungulia huku sioni huko kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania
Na hata hapo imepanda. Tofauti na JanaMimi nimechungulia huku sioni huko kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania