Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

37b2adac6625dc5e290cf2a08456d937.jpg


Tuache majungu hzo ndo Rates za Leo sasa sijui hyo mnaitoa wapi
 
kwanini yetu tu ndio imepanda?
wale wanaosema kuwa ni data za uongo mbona kwa kenya iko vizuri tu 103 ambayo ni sawa na 2200
 
Dollar ya us imekuwa na nguvu. Kwa hiyo pesa za nchi nyingi zinaanguka.
 
Mimi nimechungulia huku sioni huko kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania
 

Attachments

  • Screenshot_2017-11-03-21-57-46.png
    Screenshot_2017-11-03-21-57-46.png
    31.2 KB · Views: 39
Naomba hizo figue ziwe na makosa. Kama zipo sahihi wazingu washenzi sana. Sasa hivi tutatembele kucha. Kushusha thamani ya shilling ni moja ya mbinu za kununua watu vibiri kama mkuu. Sasa hivi tena utasikia hatutaki chai wa korosho zenu, Mara mbahazi na ufuta una mchanga haupo kwenye kiwango hapo tujua kwa nini tulitawaliwa!
 
Ina madhara makubwa wala haitaji elimu kujua.
Mafuta tunaagiza nje.
Purxhases nyingi tunafanya nje ya nchi na hivyo kuporomoka kwa dhamani ya TShs inasababisha bei za bidhaa na huduma kwenda juu.
Tusipokuwa macho yaliyotokea Zimbabwe yanaweza kutokea huku kwetu kwenda kununua nyanya sokoni kwa kubeba gunia la pesa
 
leo pesa za nchi nyingi duniani zimeanguka dhidi ya dolari ya trump . hili kumbo limezipiga pesa nyingi sana za duniani kuanzia saa 9 alasiri . mf pesa ya japani imeanguka vibaya mno . naona pound na euro ndio hazijapigwa na upepo huu . wajuaji wa mambo wanakuambia mpaka wiki ijayo hali inaweza kurudi kawaida . ngoja niharakishe kutoa korosho zangu huku pori nipige bingo ndefu
 
Dah aisee 2500 mbona imekuwa ghafla hvyo
 
EXCHANGE RATE SPECIFIED CURRENCIES
CIRCULAR NO. 208 OF 2017

The following are foreign exchange quotation applicable from 3 November 2017

Please note that Selling rates are for Imports while Buying rates are for Exports.

COUNTRY

CURRENCY

SELLING RATES

BUYING RATES

United States

US $

2248.4600 - Selling

2226.1980 - Buying

United Kingdom

STG Pound

2988.8779 - Selling

2958.8398 - Buying

EUR

EURO

2612.0360 - Selling

2585.7290 - Buying

Hiyo ni tovuti ya TRA ambayo kimsingi ndiyo hutumika kwenye transaction za kodi kwa siku husika
 
*Hivi najiuliza hyo hela yetu n ile baba Jurgen Amemwachia MZUNGU WA ACCACIA akachezee BIKO nini?*
 
Exchange rate ya benki kwa leo iko kwenye dola 1 kwa TZS 2360 hivi. Rates za mabenki hu juu by almost 100 kwa hiyo kwenye maduka itakuwa kwenye 2260
So figure hizo ni za kupika sijui kwa faida ya nani
 
Hii mambo haifichi..sasa watafutwe wachochez wanaoanika hivi vitu...google washughulikiwe!...vita vya kiuchumi si lelemama..mniombee!...hopeless!
 
Back
Top Bottom