Jamani shilingi yetu inashuka balaa dhidi ya dolla ya Marekani

Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
Ts just a 2nd yr...we have 8 yrs to witness the worst...time will tell...unajua kinachofuata?...to block google and the likes,no news!...hapa kaz tu!
 
Wale waliolima mbaazi ambazo sasa kg.1 ni tsh 100..wameambiwa..mbaazi ni mboga..watafute unga au mchele life liende..sio commercial crop....na baada ya njaa ya last yr..mipaka imefungwa mahindi yote yako ndani..sumry pekee ana gunia 47,000 godown..uchumi unaendeshwa na kichwa kimoko cha kemia...tegemea balaa baada ya 4 yrs...tutataftana...mijadala haikwepeki..mabishano ndio chachu...sasa endeleeni kushabikia hili...2020...ni mtelezo...self suicide!.."ukishupaza shingo sana..utaivunja"!
 
Angalieni manunuzi ya luku...tozo ya ewura na rea ziliondolewa..sema anzia august zimerudishwa kimya kimya....hapo vat ipo kama kawa...mwenye akili haambiw tazama!
 
sehemu kama hizi ndo ma vault custodians wa mabenki wajanja wanatajirikaga, ile kulala masikini unaamka tajiri
 
Kila first friday of the month huwa kuna NFP news
Governor wa Federal reserve anaongea
Statement yake can cause USD currency fluctuated
 
Kwahyo unafurahia au?wabongo was.enge kwel,tunaiombea njaa nchi yetu
Mwajua kutangazwa washindi, onyesheni uwezo wenu sasa sio kuomba muombewe.

Kama mmeshindwa mjiuzulu.
 
Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia lia
 
Ko wenye dollar zetu tukiuza tutapiga mafaida ya kutosha.
 
Hali ya uchumi ni mbaya sana!
Siyo lazima usome kuiona hali ilivyo tete.
 
Nafikiri kulikuwa na makosa Imerekebishwa na sasa ipo kati ya 2,240-2,250 kwa Usd 1.

Lakini tujiulize kuna hujuma na pesa yetu?

Serikali ichukue hatua hili linatuhusu wote watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…