hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Ni ishala ya uchumi wetu kupanda juu yaani kuwa mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ts just a 2nd yr...we have 8 yrs to witness the worst...time will tell...unajua kinachofuata?...to block google and the likes,no news!...hapa kaz tu!Huwezi kuangalia exchange rate kwenye currency converter ya google. Ingia website ya Bank of Tanzania (BoT) uangalie trend ya exchange rate kwa siku kadhaa zilizopita, then ulete mrejesho.
umesahau kuweka pls hide my ID*Hivi najiuliza hyo hela yetu n ile baba Jurgen Amemwachia MZUNGU WA ACCACIA akachezee BIKO nini?*
Mwajua kutangazwa washindi, onyesheni uwezo wenu sasa sio kuomba muombewe.Kwahyo unafurahia au?wabongo was.enge kwel,tunaiombea njaa nchi yetu
Tupia kanusho hapa!BoT wamekanusha jamaa wa bloomberg wamekosea ku imput data....!!
Tupia kanusho hapa!
Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia liaNi kweli kabisa thamani ya pesa yetu inashuka.Nataka nielezee utofauti kati ya exchange rate ya zaidi ya 2500+ na hii inayotolewa ya 2200+.
Uchumi unabadilika kila sekunde hivyo hadi kufikia sasa thamani ya shilingi yetu imeporomoka mpaka kufikia 2500+(Real time exchange rate). Bei hii ndio inayotumika kufanya FOREX trade.Kwa hiyo watu walionunua dola tsh 2200 now wanaiuza kwa tsh 2500+(faida, watu wa forex wanafurahia kupata faida Ila uchumi wetu unashuka)
Hii bei elekezi ya tsh 2200+ inayotolewa haipo updated (pengine ipo nyuma kwa miezi kazaa)Vile vile wanasimamia bei hii ili kuzuia mfumuko wa bei (haiwezekani Leo 2200 kesho waseme 2500),Ila kiuhalisia thamani ya shillingi yetu inaporomoka kwa kasi.
Note:Haya ni mawazo yangu tu,Mimi sio mchumi,wenye uzoefu na hili watuongezee ujuzi
Kumbe ndo maana bei ya mafuta imepanda ghafla tena bila taarifa.Kwa waliongalia trend ya shilling yetu dhidi ya dola inashuka balaa kuanzia jioni hiiView attachment 623497View attachment 623498View attachment 623499View attachment 623500
Watu wenye uelewa na hii hali watusaidie jamani.
Je hii haina madhara katika uchumi wetu?
Hali ya uchumi ni mbaya sana!Uchumi sio siasa kusema kila mtu anaingia. Kama ujasoma uchumi uwezi kueleza hali ya uchumi wa nchi. Na kingine ivi vitu ni sayansi na mathematical issues. Uwezi lazimisha kwamba maduka ya kubadilishia Pesa yamefanya rate ya kubadilisha kuwa ivyo, kuna maduka mengi yanabadilisha kwa Pesa nzuri. Hata katika bank nyingi zina rate nzuri. Fungueni account za Dollars, Great Sterling pounds, au Euro upate unafuu wa bei, sio kulia lia