Jamani 'short time' hotels za Sinza imezidi!

Jamani 'short time' hotels za Sinza imezidi!

sijawahi kuona mji wenye guest house nyingi Tanzania kama Morogoro

Ila nenda weekend guest house zote zimejaa, watu wa Dar es Salaam
 
kila siku tunakatishana tamaa kuoa mwe!...nwy nitaifunga alarm nanihii yake
 
kila siku tunakatishana tamaa kuoa mwe!...nwy nitaifunga alarm nanihii yake

MMMMMH wataondoa alarm kwani wao hawajui hatari iliyombele yao, any way suala hapa ni kuwa moral wote ingawa ni nguvu na hakuna kipimo wewe beba tu baba!!!!
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&lt;br /&gt;<br />
haya mambo ni magumu sana_ipo moja mitaa ya Big Born kwa nyuma nyuma inaitwa PR, hapo Mzee wa Upako Lusekelo hakosekan_huwez amin , tumwachie M/mungu atuhurumie tu .
Huenda anaimiliki...
 
Mi niliwahi kwenda guest moja sinza na waifu. Nikachukua chumba. Kabla sijatulia nikatoka nje nikashangaa kuona waifu ananifuata na kuniambia kuna mizigo ya mtu mle ndani! Kumuuliza jamaa reception akaniambia ni kweli chumba kina mtu ila ametoka na alithani mimi ni wa short time! Tulikerwa sana na tukahama fasta!
 
Back
Top Bottom