Jamani Simbachawene Ni Kichwa

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Ngoja niseme ya moyoni.

Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia.

Nawasilisha!!
 
Sure mkuu, nimempenda sana, kuna wajumbe wako kule na inapokuja sula zito kama la Katiba wanaweka uchama pembeni.
 
Hata baba wa taifa alikuwa anajua kusema vizuri. Hata Mbowe anajua kusema vizuri. So what's a big deal?
 
Hana lolote huyo. Mambo wanayojadili ni marahisi sana. Kiutendaji ni bure kabisa.
 
Tutampima kwenye michango yake kwenye Rasimu ya Katiba... Inaweza ikawa ni akili za pazi tu..
 
We mtu akijua kuongea ndo unajua anakili sana eti, Watu wote wanajua kuongea vizuri na kujua kuongea siyo kwamba ndiyo unaakili sana.

Ngoja niseme ya moyoni.

Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia.

Nawasilisha!!
 
We mtu akijua kuongea ndo unajua anakili sana eti, Watu wote wanajua kuongea vizuri na kujua kuongea siyo kwamba ndiyo unaakili sana.

Ngoja basi kamanda, hamu tuweke pemben uchama wetu basi

Jamaa nilikuwa na muona kama boya, kidogo leo naona kanikuna kwani swali gumu majibu mafup na sahih.
 
Hapa siyo chama ni mtu kwani wewe kujibu maswali vizuri kama umejiandaa huwezi

Ngoja basi kamanda, hamu tuweke pemben uchama wetu basi

Jamaa nilikuwa na muona kama boya, kidogo leo naona kanikuna kwani swali gumu majibu mafup na sahih.
 
...aseee analysis nyingine jamani,yaani hapo ndo unamuona kichwa..?.basi na mzee makamba ni kichwa, tena cha mtu...
 
Ngoja niseme ya moyoni.

Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia.

Nawasilisha!!

hana lolote janjajanja tu yaani ni bogasi kuliko hata wewe hana uwezo wa kujenga hoja sisi watu wa jimbo la kibakwe tunamjua vizuri sana.
 
Ngoja niseme ya moyoni.

Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia.

Nawasilisha!!

Mkuu, hivi huyu Simbachawene si ndio yule aliekuwa Kondakta wa Daladala pale Dodoma Stand au!??
 
Hata mimi baada ya kufuatilia leo Bunge la katiba, nimemkubali huyu jamaa ! I hope kwenye mjadala wa katiba mpya ataendeleza umahiri wake kama alivyofanya leo !

Ngoja niseme ya moyoni.

Anajua kuongea vizuri kwa sitaa kubwa sanaaa, uelewa sana na busara na anajibu maswali magumu kwa fasaha sanaaaa.... nimemfatilia asb na sasa nimemsikia.

Nawasilisha!!
 
Siwezi kukupinga, kinachommsaidia huyu ni kuwa ametokana na sisi wanachi kitaa, kwani huyu ukifuatilia historia ya maisha yake hakika ni Filamu tosha, nahasa pale alipokuw ampiga debe,konda na wakala wa tiketi dodoma stand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…