Jamani swali

Jamani swali

Kowero Fredy

Member
Joined
Apr 30, 2011
Posts
33
Reaction score
2
Kwa wale wanao amin kuwa Kuna Mungu,na Mungu ameumba upendo.swal langu ni ivi,unapomfuata binti au kijana wa kiume na kumwambia unampenda,unamanisha unampenda kwa upendo ule ule ambao Mungu aliuweka ndan yako? Au kuna aina nyingine ya upendo unauzungumza hapo.nauliza ivi kwa sababu kama kwel watu wangeingia kwenye ndoa na hata mahusiano kwa upendo ule wa Mungu sidhan kama kungekuwa na matengano? Coz to have that love means You have God
 
Wewe mwenyewe umeshatengeneza mazingira ya kutopata majibu bora zaidi kwa kuelekeza zaidi swali lako katika upendo wa kingono (mahusiano) wakati upendo wa ki-Mungu ni mpana kiasi cha kushindwa kueleweka kirahisi kwa akili ya kawaida ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom