Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu.
Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu.
Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya nafasi 350 tu. What a waste of time and money. Kumbuka vijana hawa wengi wao wa naomba pesa ya nauli, chakula na kulala Dodoma. Hawakuwa na njia nyingine ya kuwachuja ili ipatikane cream ya watu angalau 3,000?