[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] asee acha baxLuna kundi kubwa LA watafutaji linawasindikiza wenzao wenye CONNECTION.
Tujiandae kushuhudia kioja cha kwanza cha kufungulia mwaka. Partner wangu mmoja ameitwa humu najua anaenda kupoteza muda na nauli tu!Ushauri TU
Usaili unaohusu watu wengi ungeanza kwenye kanda zao halafu wale wanapatikana wangeenda dodoma kwa usail wa awamu inayofuata
Watu wa dsm pwan morogoro ....wafanyie dsm
Watu wa Ruvuma iringa na Mbeya ..wafanyie mbeya
Watu wa mtwara Lindi..wafanyie mtwara
Watu wa geita simiyu mwanza kagera Mara na shinyanga ..wafanyie mwanza
Watu wa Tabora rukwa kigoma .. wafanyie kigoma
Watu wa Arusha manyara Moshi tanga...wafanyie Arusha
Watu wa dodoma singida ..wafanyie singida
Halafu dodoma ibaki sehemu ya mwisho kwenda kumalizia usail wa mwisho
Point muhimu sana hiiUshauri TU

Dah!!!, Life limekuwa tight sana siku hizi.Luna kundi kubwa LA watafutaji linawasindikiza wenzao wenye CONNECTION.
Binafsi silaumu kuitwa wengi hivyo,ninacholaumu ni kwamba Kwanini huo usaili usingefanyika Kikanda? au Kimikoa ili kupunguza Population ya watu wengi hivyo kukutana sehemu moja?. Kwasababu gharama zake kwa husika zinakuwa kubwa Sana.Nauli,Malazi na Chakula.Na DODOMA palivyo pagumu vile aisee, vijana wataumia Sana.Ila sisi Watanzania ni watu wa kutokuridhika Sana.....
Wao wameweka vigezo vya awali wenye vigezo vya awali wameitwa,mlitaka ata ukiwa na vigezo uachwe kwa sababu gani!?na wangeachwa pia tungesema,ifike mahala tubadilike.
Kama umeitwa wewe nenda huwezi jua Mipango ya Mungu.
Wamefanya hivyo ili kupunguza gharama kwao na urasimu hivyo wameona mzigo wa gharama zao zihamie kwenuBinafsi silaumu kuitwa wengi hivyo,ninacholaumu ni kwamba Kwanini huo usaili usingefanyika Kikanda? au Kimikoa ili kupunguza Population ya watu wengi hivyo kukutana sehemu moja?. Kwasababu gharama zake kwa husika zinakuwa kubwa Sana.Nauli,Malazi na Chakula.Na DODOMA palivyo pagumu vile aisee, vijana wataumia Sana.
Wakuu mmeshasikia usaili utakaofanyika 8/1/2022. Usaili huu utajaza jiji la Dodoma umati wa watu 12,377 hao ni wa nafasi ya afisa uchunguzi tu.
Kuna nafasi ya afisa uchunguzi wasaidizi wameitwa watu 9,729 kwa nafasi ya watu 150 tu.
Jumla ya wasailiwa inakuwa 22,106 kwa ajili ya jumla ya nafasi 350 tu. What a waste of time and money. Kumbuka vijana hawa wengi wao wa naomba pesa ya nauli, chakula na kulala Dodoma. Hawakuwa na njia nyingine ya kuwachuja ili ipatikane cream ya watu angalau 3,000?