Jamani TAKUKURU, kuita watu 12,377 kwenye usaili kwa nafasi 200 ni sawa?

Wamefanya hivyo ili kupunguza gharama kwao na urasimu hivyo wameona mzigo wa gharama zao zihamie kwenu
Mhhhh!!!,Sasa km Serikali inakwepa gharama inawaangushia zigo vijana,hivi hapo si ni kuzidi kutiana Umasikini Kweli?!!!. Aiseee life is not fair.
 
Hakika
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ni wengi lakini ni Kawaida sana.

TRA wakihitaji watu 15 wanaita 9,000.

Mambo ni yale yale.
 
Samia kabomoa Maisha ya maskini machinga kigezo usafi wa miji Mungu habagui. CCM iwe makini sana
 
Kazi za Serikali huwaga zinanikirisha sana...
They don't need the skills to get, just your academic certificates, your CV, luck and connection.
 
Mbona hiyo idadi ya walioitwa na jumla ya nafasi zilizotangazwa ni nzuri, hapo kwa wastani kila nafasi moja inagombaniwa na watu 60 kitu ambacho sio mbaya sana.

Hivi unaijua ajira portal wewe? Wanatangaza nafasi moja wanaita watu 300.
 
Nafasi nyingi zimeishajazwa na watoto wa vigogo
 
Subiri TRA utajua hujui poleni sana madogo ila ipo siku mtachomoa tuu kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…