Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ila kwa upande mwingine Kaka najiwazia hapa, lengo la mtoa uzi ni nini hasa kwa sababu hata huku mikoani kila leo tunaenda kwenye masherehe ya harusi iweje kwa Tanga aone ni jambo la ajabu?Hiyo si fashion watu wanatimiza wajibu wao na kwa matakwa yao wenyewe, waache waoane tu