Ila kwa upande mwingine Kaka najiwazia hapa, lengo la mtoa uzi ni nini hasa kwa sababu hata huku mikoani kila leo tunaenda kwenye masherehe ya harusi iweje kwa Tanga aone ni jambo la ajabu?Hiyo si fashion watu wanatimiza wajibu wao na kwa matakwa yao wenyewe, waache waoane tu
Huyu atakuwa hajanusuriwa bado sasa kama kuna kawivu flani hivi anachoIla kwa upande mwingine Kaka najiwazia hapa, lengo la mtoa uzi ni nini hasa kwa sababu hata huku mikoani kila leo tunaenda kwenye masherehe ya harusi iweje kwa Tanga aone ni jambo la ajabu?
Hahahaaa. Kama ni kweli pole yake.Huyu atakuwa hajanusuriwa bado sasa kama kuna kawivu flani hivi anacho
we vp ushaolewa???Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar
Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa kila siku tu
Au ndo kutoa mkosoiii jamn wenyeji hii ni fashion tu au ndo kutoa mkosi alafu mtarud home
Mbona kama umeshtuka swahiba wangu nin tatizo,huko si ndio nyumban jmn?...Mmmhh
Mbona kama umeshtuka swahiba wangu nin tatizo,huko si ndio nyumban jmn?...Mmmhh
Mmmhh
Mbona kama umeshtuka swahiba wangu nin tatizo,huko si ndio nyumban jmn?...
Mbona kama umeshtuka swahiba wangu nin tatizo,huko si ndio nyumban jmn?...
Zipo zipo mwenzangu cjui ndo mfungo sita huu naona kila mtu anaweka jiko ndani mapeeemaaaHahahaa. Usijali Kaka ake. Tutaenda na sie tukayashuhudie kwa macho.
Harusi ni kawaida labda za huku amezipenda tuIla kwa upande mwingine Kaka najiwazia hapa, lengo la mtoa uzi ni nini hasa kwa sababu hata huku mikoani kila leo tunaenda kwenye masherehe ya harusi iweje kwa Tanga aone ni jambo la ajabu?
HahahahahHuyu atakuwa hajanusuriwa bado sasa kama kuna kawivu flani hivi anacho
Nimekukimbia cjakuaga jamaaani uuuuwiiMmmhh
MaashaallahHuku tanga tunaoa usiku na mchana hivi Leo jioni Mimi naoa katoto kadogodogo
Usishtuke sana swahibaHahahaaa. Nimejikuta tu nashutuka swahiba. [emoji85] [emoji85]
Wanaume hakuna ndio. Huko si pwani, sharia inazingatiwa vyombo ni vinne vinne.Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar
Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa kila siku tu
Au ndo kutoa mkosoiii jamn wenyeji hii ni fashion tu au ndo kutoa mkosi alafu mtarud home
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]. Uko poa?Usishtuke sana swahiba