Umri wa kuoa/kuolewa ni upi?!Umewekwa n nani?!Siku hizi hata ule umri kuoa/kuolewa - kuna watoto wa kiume badala wa wanaume vivyo hivyo kuna watoto wa kike badala ya wanawake!
nimekusoma mamie!Sasa hili ni tusi....sema wamepungua au wako wachache!!
Salama iko wana JF?
Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?
Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??
Kulikoni?
Mikataba ipo tangu zamani,mfano ndoa zote za Tanzania ni mkataba ila ni WAKUDUMU.Na wewe ndo unaconfirm kabisa kwamba hakuna waolewaji..Naona hili ni tatizo Tunakoelekea nadhani kutakuwa na mikataba ya ndoa lol
Salama iko wana JF?
Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia majibu yao waoaji hawapo siku hizi
Ukiuliza wanaume nao jibu utasikia ni lile lile siku hizi waolewaji hawapo
Inakuwaje wakati idadi ya single wakike na single wa kiume ni wengi sana
Kwanini jibu linakuwa waoaji waolewaji hawapo?
Hivi kama kila mtu ana majibu ya dizaini hii nini hatima yake??
Kulikoni?
inategemea na uliowqauliza wengi.
kama uliwauliza wa miaka kwanzia 24-26 hawa wengi bado hawajarealize haja ya kua namke.
ila kwa wengi wenye 27 and above wankua washamake sense ya kua na mke.
Pia inategemea namtu,kuna watu washakutwa sana na mikasa ya kimapenzi au kuisikia,
au kushuhudia live kwa watu wao wa karibu jamaa na marafiki. inapofikia hatua ya kuoa au kuolewa
inakua kazi sana kufikia maamuzi.
Ila kiukkweli suala la tabia nalo linachagia no kwa siku hizi.
Jamani watu wamebadilika mnoo,uthubut wa ajab wa kufanya mambo yasiyofaa
hasa kwa muolewa/muoaji. Tunatishana kiukweli.
Si kweli, mimi toka nihamie DSM miaka tisa iliyopita karibu kila jmosi nahudhuria kula mpunga wa harusi, wakati mwingine nakuwa na kadi zaidi ya moja kwa tarehe hiyo. Sasa kama hizo ndoa zinadumu au la hapo sie wahudhuriaji haituhusu.
waSasa hili ni tusi....sema wamepungua au wako wachache!!
tasia1 hapa naongelea vijana walio katika umri wa kuoa na kuolewa ..
na wala sijawauliza ila naona imekuwa ni kawaida kwa group hili kutoa majibu kama haya .
Kama hujagundua fanya uchunguzi na utaniletea majibu
Dada umepiga ikulu mpenzi.
Mimi nadhani ni suala zima la wazazi na kumomonyoka kwa maadili.
Kama wazazi: Maadili yetu yameporomoka wengi wetu hatuna tena staha, uvumilivu, usiri wala yale maadili ya malezi mema kwa vijana wetu. Kama wazazi tunapokorofishana ndani badala ya kuyamaliza 'ndani' chumbani basi tunabwatuzana sebuleni na pengine kushikana hadharani wanetu wakisikia na kuona. Dharau, unyanyasaji tunayafanya wazi wazi. Watoto wanaona maumivu ayapatayo mzazi mmojawapo, wanashare mchungu hayo kiasi cha kujenga picha kuwa ndoa si taasis yenye furaha, upendo wala amani. Maisha yetu yanawafunza wenetu ukorofi, unyanyasaji, kiburi, dharau na jeuri. wengi wetu sio wazazi bora ni bora wazazi.
Kuna sehemu kwenye thread ya Muda hautoshi, imezungumziwa aina ya malezi tuwapayo watoto wetu kwa kisingizio cha kukosa muda kuwa busy........mamuvies wanayoangalia pasipo na uangalizi wa wazazi (age restrictions); mablogs na makolokocho mbalimbali ya kisasa yaendayo kwka jina la technolojia yanawakomaza mapema. Wazazi wengine wanafanya yasopaswa kufanyika mbele ya hadhara, tena basi hata na watu ambao si wenzi wetu, mtoto anaona anajifunza kuwa ni sawa tu kuwa na 'mashiko zaidi ya moja' tunawafunza kuthamini pesa na material things na kuwaonyesha njia ya kuvipata n.k.
umri wa kuoa/kuolewa ni upi huo my dia.
wa
owaji/waolewaji wapo sana tu, tatizo tamaa uchaguzi wenu tu, walio wengi wanawapenda wale wa kimjini mjini zaidi, sis du/brazamen, sasa hiyo combination hapo mikwaruzo kibao, hatima yake ni kutendana tu, ukitulia na kumtanguliza Mungu kwa hili utapata waki wa ubavu kutoka kwake...AMEN!
any umri kuanzia 18 +++++ Nyamayao ..
Ila mie hapa naangalia zaidi vijana walio katika umri wa 25-32 ambao bado wapo wapo tu na ukisikia maongezi yao wanasema waoaji na waolewaji hawapo
hiyo ni sababu nyingine inayowafanya watu wanaingia kwenye ndoa ili mradi ndoa esp wanawake, kwa kuhofia"umri" hakuna umri sahihi wa kuoa/lkuolewa, jamii yetu inatakiwa ibadilike sana juu ya hili coz ni mojawapo ya sababu zinazopelekea ndoa kuwa ndoano, mtu aliolewa coz ya kuhofia umri.
Sina hakika na lengo la ndoa mpenzi Nyamayao...
Ila kama lengo ni hili tulilozoea la kuanzisha familia yenye watoto, basi kuna sahihi...unaruhusu kuanzisha familia....
Hopeful hujambo....