Jamani TBC hii ni sawa kweli?


ungemwambia ni mara kwa mara
 
nakumbuka kama miaka mitatu iliyopita tulikaa mimi dogo lasi na baba yetu.tulipo kuwa tunacheki tv katika kubadilisha channel wakawa wapenzi wana kiss midomoni.dogo akalopoka wanafanya nini hao.baba alijibu wanapimana pua nilicheka!

mzee wako msanih kweli kweli
 
Pia kuna haya matangazo ya kondom ni kwanini wasifanye kuyatangaza mida mibovu ambayo utakuta watoto washalala? Maana mwenyewe unakuta nacheki tv na wazazi nashindwa hata nizugie nini
 
sijawaona eti wameharibika au kuwa na tabia mbya.

mzee Definition yako ya tabia mbaya ni ipi? Hivi tabia walizonazo watoto wa Marekani na Uingereza ni nzuri kweli kiasi hicho unachotaka tuamini au ndiyo huko kuabudu kila kitu kinachofanywa na wazungu hata kama ni cha kijinga.

Waingereza na wamarekani wana kitu inaitwa "Moral Catastrophe" hebu ifuatilie uone kama kweli wazazi wa hizi nchi mbili hawaoni maadili ya jamii yao yameporomoka kutokana na misingi yao ya kuishi maisha hayo unayoyashabikia.
 
Tunahitaji kuzitumia akili zetu katika kuyapambanua haya
Jamani kuna wakati inakuwa aibu mno mtoto anakuuliza kitu cha ndani hasa ukizingatia umri wake na mazingira
Hata hivyo tuwe makini.
 
Inasikitisha sana kwamba michango yote ktk post hii inashauri kulikimbia tatizo. Ooh muulize mamako, mara angalizia tv chumbani nk. Sidhani kama hiyo ni soln. Unajua ki2 nikwambie. Watoto wa wenzetu wa nchi zilizoendelea, they know everythin BUT they dont do everythin. Mtoto wa kiafrika kila anachokifahamu atataka kukijaribu. Unajua kwa nini? Kwa sababu hawakufahamishwa kile ki2 na wewe mzazi. Kwa mfano mtoto wa kizungu anajua adults kiss but i CAN NOT kiss until am 18 n have a boyfrnd. Lakini watoto wetu kwa kuwa wana kiu ya kufahamu mambo na wanakosa taarifa sahihi kutokana na source ya ile information. Akisikia shuleni au mtaani au kwenye TV kwamba kuna ki2 kinaitwa always hadhubutu kuja kumuuliza mama/baba nyumbani coz wazazi hatuna utaratibu wa kuzungumza na wato to we2. Plz tujitahidi najua ki-Africa ni ngumu but thats the only solution na si kukimbilia chumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…