Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Kuna siku binamu yangu wa kiume(miaka 8) aliniuliza "always ni nini" mbele ya wazazi wake na wanafamilia wengine tukiwa tunakula baada ya kuona tangazo kwenye tv. Nilipatwa na kigugumizi lakini nikamjibu kuwa ni sabuni ya kuogea, akauliza tena "mbona namuona nazo dada tu na mimi sijawahi tumia?" Ilibidi itumike akili ya ziada kubadili topiki.
ungemwambia ni mara kwa mara