Jamani tcu ni zaidi ya majanga ss hivi ingia kwenye profile yako utaaona u have not yet done app.,in

Jamani tcu ni zaidi ya majanga ss hivi ingia kwenye profile yako utaaona u have not yet done app.,in

mbona zimerudi vle vle! Hakuna cha kuonyesha selection uliyopangiwaaa! Kwel njia ya muongo ni fupi, naomba mungu na mm niciwe muongo kama mbwiga88! Overr

ubaya wa mbwiga ni nini? Ndio maana alikushauri kutembelea profile yako mara kwa mara yeye si tcu bwana darius.
 
Back
Top Bottom