Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

 
Sio kupiga magoti watarudi kutawala upya kupitia mlango wa biashara. Wazungu wataona wivu watakuja kuwaondoa waarabu kuchukua nafasi, black people wanaingia ukoloni mpya.
Hii kauli kila nikiisoma, na nikiangalia mama anachotufanyia kwa Wamasai ili kupisha waarabu, naumia sana..
 
Huu utabiri umebakiza miaka 5 ila sioni ukitimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…