Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
T
Unahitaji miaka mia zaidi2030 karibu sana, labda 2100 au zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji miaka mia zaidi2030 karibu sana, labda 2100 au zaidi
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi yatakapopigwa marufuku. Nchi nyingi za Ulaya zitapiga marufuku magari yenye sumu ya ukaa by 2030. Vinu vya nyuklia vya umeme vitaongezeka kwa kasi Ulaya na Marekani, mabwawa ya umeme na wind mills pia (clean energy).
Afrika peke yetu ndio tutabaki kuwa soko la sumu (fossil fuel) toka kwa waarabu hasa Saudi Arabia, hali itakayofanya waarabu kugombea kutuuzia mafuta inexchange for grains na vyakula vya aina nyingine. Katika kulijua hili na kwa kuona kwake mbali Mh. JPM ameshaanza mchakato wa ujenzi wa bwawa kubwa la umeme almaarufu kama Stieglers Gorge litakaloweza kuzalisha MW 6000 at full capacity, ili magari yanayotumia sumu ya ukaa (fossil fuel) yatakapokuwa phased out na magari ya umeme basi Tanzania tutakuwa tunajidai tu; pia Mh. JPM anaendelea na mchakato wa ujenzi wa reli ya SGR ambayo nayo itatumia umeme.
Waarabu wana hali mbaya sana na Dubai wamegundua hatari hii, ndio maana wanabadilisha utegemezi kutoka kwenye mafuta kwenda kwenye utalii, hadi wanajenga visiwa bahari (Palm island). Waarabu literally watakuja kupiga magoti Tanzania in particular wakiomba tuwapatia walau tani milioni kadhaa za nafaka, kwani bwawa la Stiegler's Gorge litawezesha kilimo cha umwagiliaji hivyo kuongeza uzalishaji mara 50 kiasi cha kuweza kulisha Afrika nzima. STIEGLER'S OYEE, pale Sinza watajaa watoto wakali toka uarabuni, itakua ni kujichagulia tu, STIEGLER'S OYEEE, JPM OYEEE!
Bila kusahau kwamba ongezeko la vinu vya nuklia itasababisha uhitaji mkubwa sana wa madini ya URANIUM, hivyo kwakuwa Tanzania ina migodi ya URANIUM kwa wingi sana huko Lindi, basi Wamarekani na wazungu kwa ujumla hawatakua na budi bali kutulamba miguu ili tuweze kuwapatia hiyo URANIUM tuliyonayo na si ajabu kasi ya uchimbaji madini hayo imeongezeka sana huko Lindi, kiasi by 2030 inaweza ikawa imeisha, ningeomba kwa sasa JPM asitishe usafirishaji/utoroshaji wa Uranium hadi pale mustakabali wa suala hili utakapoeleweka ili tuje kuiuza baadae kwa bei ya kuringa na kunata, kuliko hivi sasa wanavyojichotea Uranium kama ya bibi yao vile, hili halikubaliki.
Kipande kidogo tu cha Uranium kinaweza kuzalisha umeme wa kuilisha Marekani kwa miaka hata 10, acheni utani na masikhara kwenye Uranium yetu, tunaijua thamani yake, waTanzania wa sasa tumeelimika!
================================
Update: 26/04/2020
Bei ya pipa la mafuta ghafi nchini Marekani yashuka na kufikia chini ya $0 - JamiiForums
=================================
Update: 10/01/2021
=================================
Update: 22/01/2021
Ndege za umeme mbioni kuzinduliwa
=================================
Update: 11/02/2021
View attachment 1699841
Kuna watu ni Great Thinkers kiukweli-kweli.Sio kupiga magoti watarudi kutawala upya kupitia mlango wa biashara. Wazungu wataona wivu watakuja kuwaondoa waarabu kuchukua nafasi, black people wanaingia ukoloni mpya.
Daah, jamaa alilenga mule muleKuona watu ni Great Thinkers kiukweli-kweli.
Huenda utabiri ndo umeanza kutimia
Ndoto yako inaweza kutimia.Sio kupiga magoti watarudi kutawala upya kupitia mlango wa biashara. Wazungu wataona wivu watakuja kuwaondoa waarabu kuchukua nafasi, black people wanaingia ukoloni mpya.
Hata wakati ule wa ukoloni mkongwe, walianzaga Waarabu hivi hivi kama waanyabiashara, baadaye ndo yakaja mamjamaa yenyewe sasa!Daah, jamaa alilenga mule mule
Hata wakati ule wa ukoloni mkongwe, walianzaga Waarabu hivi hivi kama waanyabiashara, baadaye ndo yakaja mamjamaa yenyewe sasa!Daah, jamaa alilenga mule mule
Daah, wameamua kutuwahi
Wametuwahi kabla balaa halijawafika 2030Wametuwai vp c bdo 2030 mkuu [emoji23][emoji23]
Aisee, acha tuMkuu waarabu waliposoma huu uzi wako walipata kitu. Wewe ndiyo umetuchoma kwa kuwaita waje hapa kupata nafaka na malisho ona sasa huyu mama anachokifanya akili hii uliwapa wewe mkuu waarabu kweli wapo jangwani Hamna kitu kule sasa hivi wameoshaona hapa Tanzania ndiyo chimbo lao ndiyo maana wameleta mkataba wa milele
Ndio wamekuja kutia lock tuwe colon lao la milele wamepiga komeo wakaweka kufuli na ufunguo wameenda kuutupia katikati ya BahariDaah, wameamua kutuwahi
Yaani hata siamini kinachotaka kutokea, hivi huyu mama anafikiria nini kichwani kwake?Ndio wamekuja kutia lock tuwe colon lao la milele wamepiga komeo wakaweka kufuli na ufunguo wameenda kuutupia katikati ya Bahari
✍️