Jamani Tigo wanaboa

Jamani Tigo wanaboa

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Mwenye ukaribu na Meneja wa masoko Tigo amfikishie malalamiko yangu,
Ni kwann wanang'ang'ani kupiga kupromotion badala ya kucontrol database yao ya wateja!!!??
Maana sasa hv jam imezidii ile mbayaaa...ukituma smg ama ukimpigia Mtu simu humpati wakati yupo hewani ila ukitumia mtandao mwingine unampata na hii inakaribia mwezi tangia tatizo lijitokeze
Wao wanawaza kutupiga vijipesa vyetu badala ya kuboresha mtandao wao nakupanua zaidi database ya wateja.
Wanaboa sana bhana
Waache upu...uziii..
Yangu hayo tu.
 
Communication companies are like buses, we choose a bus with the best and careful driver.
 
Yaani mimi baada ya kurudisha fao la kujitoa hata mitandao yote ife, binge liungue najionea tu burudani kila nilipo naona raha ya ajabu
 
Back
Top Bottom