fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo.
Ushamba mtupu, hebu tuache mambo haya!
Ushamba mtupu, hebu tuache mambo haya!