Jamani tuache huu ushamba

Jamani tuache huu ushamba

Kwani shida iko wapi jamani, mie anisimulie tu japo nami nijue yanayojiri duniani.
 
Mleta mada acha ukweli usemwe, bongo tupo nyuma kwa miundombinu. Nikiangalia stations za treni kutoka dar mpaka kigoma na za treni ya Tazara, kisha nikaangalia (kutoka youtube) za ulaya na China, naona kabisa sisi tupo vichakani.
Acha wanaosafiri waseme waliyoyaona kwa kweli wala si ushamba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kha!!Kwani we ukienda mkoa jirani hua huwasimulii watu?Hao wapanda ndege watusimulie tu sisi tusiopanda hizo ndege...
Na siku nikibahatika kupanda ndege nakuja kuleta uzi nisimulie nilivyopanda ndege na jinsi ndege ilivyoruka
 
Back
Top Bottom