fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hongera kwa kupanda ndege. Na pole kwa kukaa siti pembeni ya mshamba mwenzio.hii tabia ya watu wakipanda ndege,wanajifanya wao nibwao,wanabadili lugha na kuongea kiingereza,na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka,inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo,ushamba mtupu,hebu tyaache mambo haya
sipati picha ulivokuwa una muangalia uyo mshamba wako unatamani amalize story uangalie zako mawingu kwa kioo... teh tehhii tabia ya watu wakipanda ndege,wanajifanya wao nibwao,wanabadili lugha na kuongea kiingereza,na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka,inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo,ushamba mtupu,hebu tyaache mambo haya
huwa naweka nyingi tu na hata za siasa nawekafimboyaasali hahaahha ngoja nicheke kwanza. Kwa mara ya kwanza nakuona umeweka thread hapa jukwaa la habari mchanganyiko. hahahahahaahaha
[emoji110]Tafsiri ya haraka haraka ya neno ushamba ni kwamba;
Ushamba ni ile hali ya kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida tu! mleta mada tafakari,chukua hatua.
Aisee umenikumbusha mara ya kwanza napita pale Zurich bado kidogo nichelewe kwa kushangashanga!Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo.
Ushamba mtupu, hebu tuache mambo haya!
jitahidi nawe upande jamaniHii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za ni kuanza kuelezea jinsi walivyosafiri nchi mbalimbali duniani na kusifia viwanja vya ndege vya nchi hizo.
Ushamba mtupu, hebu tuache mambo haya!
mekumiss hatuonani siku hiziTafsiri ya haraka haraka ya neno ushamba ni kwamba;
Ushamba ni ile hali ya kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida tu! mleta mada tafakari,chukua hatua.