Jamani tumekufa!!!!!!

Jamani tumekufa!!!!!!

tunahitaji snipers kwa kweli kuna siku watatuinamisha hawa
 
Umeme wenyewe wanatoa kwa mgao halafu wanaongeza bei? Hawa watu vipi hawa...khaaaaaa!!!!!
 
Mungu tusaidie wanao hatuna kwa kwenda wajanja wanatuburuza kila siku kukicha wametusahau na kutuona kama si wenzao!
 
Mmh kazi ipo! Itabidi matumizi ya umeme home yapungue.
Mkienda kulala mnazima taa nyumba nzima.
Watoto kuangalia tv hadi wk end tu, friji iwashwe usiku na mchana. Asbh na jioni izimwe. Hakuna kunyooshea pasi ya umeme. Ni mkaa na kuni tu.
 
Hivi mlidhani gharama za uchaguzi atarudisha nani?
haya ndio matokeo yake kukamuliwa hadi kutoa ulimi nje kwa kwenda mbele.
 
Na ...bado..watanzania tutaendelea kukohoa,baada ya wapumbavu kutwanga pilipili(chagua ccm)
 
Tukubali tu si tumechagua wenyewe kwenye uchaguzi nini kulia bwana pandisheni hata 25% tutalipa tukishindwa tutawasha mishumaa.
 
Mie naona wacha upande tu sasa Tanesco wafanyeje? wamekuwa paralyzed na viongozi ambao sisi wenyewe tumekubali warudi madarakani kwa nguvu. Kwa kweli tulitakiwa kuwaondoa kwa nguvu hata kama ni kwa kuchapana. Wacheni tutalipia tu no way.
Ngoja niulize je mtanzania aliwahi kulalamikia ongezeko la bei kwa demonstration ya maandamano lini? mwenye kujua aniambie hapa.
 
Action: Tutumie vinyesi vyetu tujizalishie nishati yetu mtaani tuone hao kina songas watumuuzia nani huo umeme wao!
oh, i mean hatuwezi kususa kutumia huu umeme atleast kwa wiki moja to force prices down!
 
Mshahara wa kima cha chini si ulipandishwa kati kati ya kampeni? eeh, ndo gharama hizo!
 
Sasa ewura kazi yao nini??nikuregurati au??......sipati jibu wao wapo kama rubber stamp it is shame.
 
Ongezeko la bei lilisitishwa ili kuupisha uchaguzi mkuu tu. Hata hivyo, tupende tusipende lazima umeme upande bei tu, tena hadi JK anaondoka rasmi tusjeshangaa ongezeko la jumla kufikia 50%!

Ukweli ni kuwa hakuna njia mbadala zaidi ya kupandihsa umeme ili TANESCO iendelee kuwepo, angalia yafuatayo:-

1. Tanzania ndiyo inayoongoza kwa mfumuko wa bei katika Afrika Mashariki!
2. Anguko la shilingi dhidi ya USD tangu JK aingie mamlakani!

Tanesco hawatengenezi malighafi yoyote ya kuzalisha umeme, vifaa vyote (hata miti ya nguzo) wanaagiza nje ya nchi kwa kulipa USD, na hiyo shilingi yetu yazidi kuwa taabani kila uchao, unategemea TAnesco wafanye nini?
 
Vyombo vya habari vilijitahidi sana kufanya jamii itambue haki ya mtanzania katika suala zima la kuweka viongozi madarakani. Hatakama utajadili haitakua njia ya kuzuia ada hiyo ya umeme. Tuongelee mambo mengine si haya ya maamuzi ya viongozi. Na kama ni kweli kwamba tuliowaweka madarakani wanauchungu, ni nafasi yao kutetea hili.
 
Mbona tulisha kufa siku nyingi??

Mtu hafi mara mbili?

Dr Slaa aliposema tukichagua CCM tumechagua Maafa tulimuona mzushi.

Mfuko wa cement kwa Tshs 5000 elimu Bure hadi kidato cha sita na Ubabaishaji na wizi wa CCM tuliona ni bora kuendelea kugegedwa na CCM.

Yaani wakati tumekwisha fika kuzimu ndo tunashituka kwamba tumekufa??? Hiii hiii hiihiiii hiii!
 
Nadhani kwa percentage hiyo ni kwa ajili ya kujiandaa kuilipa DOWANS
 
Back
Top Bottom