figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Yaelekea hajua madame B na Ruttashobolwa yeye siye ndugu yake ila anakaa karibu na hapo alipolazwa Bakulutu yaani hapo tumbi kibaha
nadhani unataka kufahamu na ukishafahamu sasa iweje? haya ni rafiki wa rutta, una lingine la kusema ongea uwanja ni wakko
unaomba MWONGOZO kwani hapa tuko bungeni nenda DODOMA kaombe huyo mwongozo kama hayajakutoka ya puani wewe aspirin nilishakwambia ni he unataka nini wewe jamani?
haya ameni umefurahi sasa
Sijafurahi kwa kuwa una tabia mbaya. Unagoma kujibu maswali na pia u mkaidi sana. Kwa mfano nimekuambia useme Amina we umesema AMENI. Tuhame tuelekee wapi?
Sema Amina ladyfurahia ili sala zangu zifike panapostahili.
Ahsante kwa taarifa. Kumbe Bakulutu ni mdada! Sikumbuki kama nshamkagua huyu. Marry Hunbig naomba mwongozo hapa.
Mungu akuponye mjukuu wangu Bakulutu, ugua pole mama.
Ukipona u-come this way please......
Khaaa! Inahuu?
jamani hata wewe marry jamani ninayekuamini na kukupenda kwa moyo wote unasema hayo kwamba mm nikaguliwe jaamani achana nao akina aspirin wameamua kunichafulia jina langu humu MMU mm sipendi kabisa jamani niacheni msiniseme kiasi hichi siko hivyo jamani ahaaa!
Kagua huyo mutu mama.... kagua!Akaguliwe haraka sana huyu mkuu Asprin.
Afu lile pendekezo langu la kupata mdada wa kukagua wakaka humu liliishia wapi?
Kuna wakaka humu wanaleta vurugu sana,mfano ni huyu MzunguMndali!
Akaguliwe haraka sana huyu mkuu Asprin.
Afu lile pendekezo langu la kupata mdada wa kukagua wakaka humu liliishia wapi?
Kuna wakaka humu wanaleta vurugu sana,mfano ni huyu MzunguMndali!
Amina ladyfurahia lakini umewasoma hao wananchi hapo juu?jamani mm sio mkaidi wala mkali kama pilipili ndugu yangu mm niko poa sana tena sana ila mnataka kuniaharibia jina langu bure humu MMU haya basi acha niseme amina
sijui na hapo umefurahi aspirin