Jamani tunakumbuka kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenenea kwa HIV?

Jamani tunakumbuka kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenenea kwa HIV?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Wandugu,
Nimeona wikiendi hii niwakumbushe ile kanuni ya ABC ya kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya ukimwi. Kwa wale wasiojua ABC ni kifupi cha maneno yafuatayo:-

A: Abstain
B: Be faithful
C: Condom

Mimi maishani mwangu nimeamua kutumia 'A' na ninaishi kwa amani sana. Wenzangu mnatumia ipi?
 
Halafu na wewe bana sema kuenea kwa Virusi Vya UKIMWI badala ya HIV.

Mie natekeleza B
 
Back
Top Bottom