Baba Erick
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 483
- 75
Sina hakika kama nimekosea ila nilikuwa nafanya kazi ya ku-shortlist watu nikagundua madhaifu mengi ambayo naona sii vibaya nikayasema.
1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS.
Ni tatizo kwani kampuni inapotangaza wanataka mtu wa level fulani wanaangalia factor nyingi sana ikiwepo uwezo wa kumlipa mtu so wala usipoteze mda wako kuomba kazi ya mtu wa diploma ile hali una degree au certificate.
2. KUTOKUWA SERIOUS
Watu wanatuma copy za application letter/poor editing
i.e kazi unakuta haijatangazwa kwenye gazeti lolote au website ya kampuni ila unakuta ...advertised on the Gurdian of 12/1/2011 ile hali kazi imetangazwa mwaka 2012 or ... advertised at your website... ile hali hata kampuni haina website ni hayo tuu!