Jamani tunaoomba kazi tuwe makini

Jamani tunaoomba kazi tuwe makini

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Sina hakika kama nimekosea ila nilikuwa nafanya kazi ya ku-shortlist watu nikagundua madhaifu mengi ambayo naona sii vibaya nikayasema.

1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS.

Ni tatizo kwani kampuni inapotangaza wanataka mtu wa level fulani wanaangalia factor nyingi sana ikiwepo uwezo wa kumlipa mtu so wala usipoteze mda wako kuomba kazi ya mtu wa diploma ile hali una degree au certificate.

2. KUTOKUWA SERIOUS

Watu wanatuma copy za application letter/poor editing
i.e kazi unakuta haijatangazwa kwenye gazeti lolote au website ya kampuni ila unakuta ...advertised on the Gurdian of 12/1/2011 ile hali kazi imetangazwa mwaka 2012 or ... advertised at your website... ile hali hata kampuni haina website ni hayo tuu!
 
Sina hakika kama nimekosea ila nilikuwa nafanya kazi ya ku-shortlist watu nikagundua madhaifu mengi ambayo naona sii vibaya nikayasema.1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS.Ni tatizo kwani kampuni inapotangaza wanataka mtu wa level fulani wanaangalia factor nyingi sana ikiwepo uwezo wa kumlipa mtu so wala usipoteze mda wako kuomba kazi ya mtu wa diploma ile hali una degree au certificate.2. KUTOKUWA SERIOUSwatu wanatuma copy za application letter/poor editingi.e kazi unakuta haijatangazwa kwenye gazeti lolote au website ya kampuni ila unakuta...advertised on the Gurdian of 12/1/2011 ile hali kazi imetangazwa mwaka 2012 or ... advertised at your website... ile hali hata kampuni haina websiteni hayo tuu!
baeleze!!!!
 
Ukiona hivyo ujue msoto kitaani...maisha magumu kaka...
 
kweli kaka mtu ana aply bila edit barua yake.

tutajirekebisha
 
Ukiona hivyo ujue msoto kitaani...maisha magumu kaka...

hiyo inahusiana vipi na kukosea kosea anakoongelea mhusika. Hata kama ni msoto ni heri basi kama kazi wanataka mwenye 1st degree, wewe hata kama una ya uzamili bora uandike una ya kwanza kuliko kutaja hako kadigrii ka uzamili
 
mbona mimi niko makini lakini hata usaili sijawai kuitwa au mnazungumzia wale wa memo wawe serious kama ss...

acha kukata tamaa wewe.labda unakosea kuamba qualification ambazo siyo zako mfano experience na kipengele cha related field,
ila utapata kazi kirahisi mpaka ushangae
 
naomba niongezee kipengele cha wasiwasi kwenye interview.

please tujitahidi kuficha stress siku ya interview sawa ushapigika sana lakini ukifanya interview na stress unaoneka huja tulia na kukosea kosea either spelling au swali lenyewe.kwa kina kaka jamani angalia sana nywele na ndevu zenu jinsi ya kuvaa.msichoke saaana bwana.
 
Hapo kwenye mavazi ndugu Krister, nenda zanzibar ukute watu walioitwa kwenye usaili wanavyodress. masandals, kakupigia na kofia yake ya kuswalia, shati au flana haijachomekewa, kakupigia jeans ama kadeti, dizaini kama vile katoka home tu kwenda kununua vocha dukani. mwengine kumuimpress mwajiri basi atakuja na miwani ya jua kabisa kaining'iniza utosini
 
1.KUTOFUATA MAELEKEZO NA REQUIRED QUALIFICATIONS
2. KUTOKUWA SERIOUS

Watu wanatuma copy za application letter/poor editing
i.e kazi unakuta haijatangazwa kwenye gazeti lolote au website ya kampuni ila unakuta ...advertised on the Gurdian of 12/1/2011 ile hali kazi imetangazwa mwaka 2012 or ... advertised at your website... ile hali hata kampuni haina website ni hayo tuu!

Kama haikutangazwa mtu anawezaje kuomba kazi, atafahamujie kuwa kuna nafasi ya kazi wakati huo? Nyie ndo wale mnaotoa vimemo kwa wapenzi, watoto wa shangazi, wajomba wakati muda wa maombi ulishapita, wakileta barua mnazichoka katikakati ya zile zilizokwwisha kupokelewa, matokeo yake mnaajiri watu wasioweza hata kuandiaka barua ya kiofisi. Hebu nawe jiuliza, kama kweli hukutangaza kazi, maombi ya kazi yanaletwaje na wewe kuanza kufanya shortlisting?
 
Acheni kucomplicate ishuz na kutisha watu.
Kwani mtu mwenye degree haezi kufanya kazi za mtu mwenye diploma kwenye sekta ileile?
Halafu pia sidhani kama kuna mtu anayependa kusubmit kazi yenye typos, ni kwamba tu mtu unaeza ukawa uko cafe upo ktk mazignira ambayo ni controlled, cha msingi kwa mtu unayepitia hizo applications uwe unaangalia mambo ya msingi zaidi yanayohusiana na kazi husika, sio mtu kakosea kwenye 'is' kaweka 'in' basi unaweka application yake pembeni..msiwe wanoko.
 
IQ ukiwa pungufu inaleta shida sana
OTIS
 
arifu hutaki keuelewa au unataka kubisha.....hata keybodi S na N ziko mbali sana.....how kamu mtu unapeleka kidole kwenye S ilio kushoto kabisa na kuacha N ilio mbali sana na S?
 
Kama haikutangazwa mtu anawezaje kuomba kazi, atafahamujie kuwa kuna nafasi ya kazi wakati huo? Nyie ndo wale mnaotoa vimemo kwa wapenzi, watoto wa shangazi, wajomba wakati muda wa maombi ulishapita, wakileta barua mnazichoka katikakati ya zile zilizokwwisha kupokelewa, matokeo yake mnaajiri watu wasioweza hata kuandiaka barua ya kiofisi. Hebu nawe jiuliza, kama kweli hukutangaza kazi, maombi ya kazi yanaletwaje na wewe kuanza kufanya shortlisting?

hebu soma maelezo yangu vizuri acha kukurupuka ndugu. Nimesema unakuta kampuni haina web au hawajatangaza kwenye gazeti wametangaza sehemu ka jamiiforum au zoom lakini mtu anaandika kama nilivyoeleza
 
Naomba umjibu hy mistari mitatu ya kwanza, jamaa ana swali lina logic. Hayo maneno mengine yanayoendelea fanya ka haujayaona.
 
Ni tatizo kwani kampuni inapotangaza wanataka mtu wa level fulani wanaangalia factor nyingi sana ikiwepo uwezo wa kumlipa mtu so wala usipoteze mda wako kuomba kazi ya mtu wa diploma ile hali una degree au certificate.

maana ya essential skills na desired skills ni nini?
 
arifu hutaki keuelewa au unataka kubisha.....hata keybodi S na N ziko mbali sana.....how kamu mtu unapeleka kidole kwenye S ilio kushoto kabisa na kuacha N ilio mbali sana na S?
Kaa pembeni, huna jipya.
 
Naomba umjibu hy mistari mitatu ya kwanza, jamaa ana swali lina logic. Hayo maneno mengine yanayoendelea fanya ka haujayaona.

inawezekana kuomba kaz bila kutangazwa mfano mimi huwa naandika barua office mbali mbali post inayorelate na field yangu zen naenda mjin nasambaza nyingne naitwa interview nyingne napotezewa hata hapa nilpo nilileta tu bila tangazo ingawa nafanya one year contract na simjui mtu yeyote humu ndan ya ofisi
 
Back
Top Bottom