Hapo sasa. Kwanza nani anataka kulea mtoto saa hizi aanze kumfundisha maisha. Nina mtoto namtunza nyumbani nikaokote na katoto kengine nani anataka majukumu mawili mawiliUtakubalia wangapi hadi watoto? wakati wakubwa wenzio wamejaa tele!
Haoaf mi toka zamani napenda wanaume wakubwa wanaonizidi wanaojielewa vitoto napeleka wapi hakitoshi hata kifuani mambo ya kitoto toto mengiUtakubalia wangapi hadi watoto? wakati wakubwa wenzio wamejaa tele!
Utakuta Baba anakuwa kama pazia ambalo unaliona kila mara lakini hakuna cha maanaKuna wale wamelelewa na wazazi wawili bila kujua mama zao ndo walikua wanaendesha familia baba alikia kivuli tu ila nao kutwa kusema single moms as if baba zao walichangia kitu kwenye ukuaji wao zaidi ya kuwepo nyumbani tu kama baba.
Suala sio vigezo ni moyo mpenzi. Unaweza ukawa na vigezo kila mtu anaviona huyu anafaa ila moyo wa mtu mwingine ukagoma kabisa kukusajili.Hapo ndio niliposhangaa halafu kawaida tu kukataliwa ,cz inawezekana kuna vigezo hujatimiza so kiroho safi anakuweka pembeni
Sasa ukija kukandia humu kwa kweli unakua ni utoto uliotukuta
Mambo vipi lkn ,poleni na msiba huko nyumbani Tanzania ,Maria na Consolata
ndo mtafute jukwaa kwakwel!mtuache tuzeeshane hapaUzi huu umenifanya nimekuwa mpole sana.
Yah[emoji23][emoji23][emoji23] umeamua kumshusha pressure mama sab
na ndo wanaume weng wapo hvy!ila huku sasa!!!!!!!!!!!!!!Utakuta Baba anakuwa kama pazia ambalo unaliona kila mara lakini hakuna cha maana
Tena wababa wanaoshinda bar ndo usiseme. Ndo maana tunaawachaga tu na mada zao waandike mpaka waandike tena kama wanadhani maneno yao yatabadili uhalisia. Tatizo wanashindwa kuelewa ulimwengu unabadilika. Hata wakati wazungu wanaleta nguo na dini kuna watu walishangaaWanataka sijui tuwatupe wema hapo analia kila siku azae hata katoto,ndoa wanadhani ni ya kukimbilia tu
Wachache sana kina baba wanaojali watoto nyumbani ,watoto wengi wamekuzwa na mama zao sio kina baba bana anashinda bar hana habari
usiache kwenda mwayaNimeamka poa tu ila ikifika jioni tu najiandaa hapa niende hospital
Watoto hawaelewagi wao wanajua walikua kwa juhudi za baba na mamaUtakuta Baba anakuwa kama pazia ambalo unaliona kila mara lakini hakuna cha maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo mtafute jukwaa kwakwel!mtuache tuzeeshane hapa
Tena wababa wanaoshinda bar ndo usiseme. Ndo maana tunaawachaga tu na mada zao waandike mpaka waandike tena kama wanadhani maneno yao yatabadili uhalisia. Tatizo wanashindwa kuelewa ulimwengu unabadilika. Hata wakati wazungu wanaleta nguo na dini kuna watu walishangaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaaa [emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na kasweta kake mbio kakutana na bibiKuna watu wanatutongoza mwaka wa saba huu na wala hawakasiriki wakikataliwa. Mtu anakutongoza na ka Id fake wala hata hakujui anakasirika kabisa. Kumbe maskini unaweza ukamkubalia akikuona live unalingana na bibi yake
Nakubaliana na weye kabisa,lkn sasa usije huku kukandia ,na ndio maana nasema JF ya sasa utoto mwingiSuala sio vigezo ni moyo mpenzi. Unaweza ukawa na vigezo kila mtu anaviona huyu anafaa ila moyo wa mtu mwingine ukagoma kabisa kukusajili.
Asante mwaya. Tunaomboleza kama taifa sasa hivi.
Nan anaumwa shem ?Nimeamka poa tu ila ikifika jioni tu najiandaa hapa niende hospital
Tenaaaa kulikoni mamito!Nimeamka poa tu ila ikifika jioni tu najiandaa hapa niende hospital
Halafu akitoka hapo anakuja kuweka uzi wanawake wa Jf wahenga kama vile alitumwa atongoze fake Id[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haaaa [emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] na kasweta kake mbio kakutana na bibi
Amen kipenziNakubaliana na weye kabisa,lkn sasa usije huku kukandia ,na ndio maana nasema JF ya sasa utoto mwingi
Binafsi nishatoswa humu,chakushangaza aliyenitosa nazidi kumfurahia
Tuko pamoja katika msiba huu wa taifa ,tuzidi kuwaombea marehemu wetu
wengne wanaambiwaga ila raha yao kuponda!kuna uzi upo humu nadhan unasema wale tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa !jaman unatia uchungu huo uzi!niliumia sanna sana!nahakika ulifika pg 30!ila haohao waliolelewa na mama zao wanakuja hapa kunanga !manina kwakwelWatoto hawaelewagi wao wanajua walikua kwa juhudi za baba na mama
Aka mwenzangu tunataka wanaojielewa na kujiongeza basi hao wapeleke mafua yao hukoHapo sasa. Kwanza nani anataka kulea mtoto saa hizi aanze kumfundisha maisha. Nina mtoto namtunza nyumbani nikaokote na katoto kengine nani anataka majukumu mawili mawili