Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

wanaume weng sana sana akikupa histry yake ya utoton atakuambia mama alifight sana kunilea... ding hakuwa akisomeka!leo hii haya haya malonyalonya yanakashifu single moms!
angalia wanamuziki weng wamekuwa raised na single parent! matako yake km chips
Halafu ndiyo story zao mama alifight lakin kutwa kuwa sema single mother
 
Back
Top Bottom