MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
'ilewe ' tu YOLOID yako nimeilewa, sijui ndivyo inavyomaanisha[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'ilewe ' tu YOLOID yako nimeilewa, sijui ndivyo inavyomaanisha[emoji3]
PYEEEMbitiyaza alinizuiaga sana akasema achana nako wala sikuwa na mpango wa kusema kaudhi watu
Hamo wasayagaa hamoo waluha[emoji6][emoji2]
Umeelewaje?ID yako nimeilewa, sijui ndivyo inavyomaanisha[emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]'ilewe ' tu YOLO
Basi bora umesema nasi kaka zake tumeshamjua tabia zake mbaya...Mbitiyaza alinizuiaga sana akasema achana nako wala sikuwa na mpango wa kusema kaudhi watu
Nimeielewa kama maneno mawili ya lugha ya mzalendo wa kwanza.Umeelewaje?
SawaBasi bora umesema nasi kaka zake tumeshamjua tabia zake mbaya...
Dawa ya moto ni moto!
Mmmmh andika hapa tuoneNimeielewa kama maneno mawili ya lugha ya mzalendo wa kwanza.
Sitaki... teh!Mmmmh andika hapa tuone
Unawaibukia kuwatongoza au? Kumbuka wanawake wengi hawapendi kutembe na wanaume waliowazidi umri hasa uwe huna pesa na haiba ya kiume. So issa win win situation.Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa
unanitukana kilugha
Watoto wadogo wana shida sana. Utasema kalazimishwa single moms wakati kuna mabinti fresh kibao mtaani.Uliambiwa ndoa lazima,we mbona hujaoa nawe huna maana,sisi single mom tumekukosea nini kwenu hakuna walozalishwa huko tukiwa na ndoa we unafaidika nini
Watu wengine bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwacheni mtoto jamani.wanaume weng sana sana akikupa histry yake ya utoton atakuambia mama alifight sana kunilea... ding hakuwa akisomeka!leo hii haya haya malonyalonya yanakashifu single moms!
angalia wanamuziki weng wamekuwa raised na single parent! matako yake km chips
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imebdi nikutukane pm walau nipate relief kdg!
Hujui kuongelea single moms hata kwa mazuri ni sifa. Yani mtu asipotia neno single moms anajiona kama hajakamilika vilee. Muacheni kijana akikua ataacha
Sasa mkuu mbona povu? Ila ndio ujue wagenga tupo wengi sana.Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa.
Mbona hio sio siri.wewe Da'Vinci tafadhari sana omba msamaha! KUMBE UNANYALI HVYO KUMBE ULIWA SAIDIWA PESA YA KUJITIBU NA SINGLE MOM??? dah!UNABISHA NIWEKE USHAHIDI?
Msinitoe roho basi nisameheni. Leo sikukuu ya ekarist takatifu.Acha tu ,vikitongoza humu wanawake vikakosa hasira zinakuwa nyingi ,wakati single mom wengine ni msaada mkubwa tu
Aisee itabidi tuanze kukuita babu nani vileee[emoji23] [emoji23]Hahahaha sasa kama Mimi hapa JF ni mwaka wangu wa kumi, utafikiri Nitakua na miaka mingapi? Under 18??