Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Sitorudia kuonana na mwana Jf wa kike hata mmoja. Kila nayemuibukia kanizidi umri kuanzia 4yrs. Bora hawa mabro tuliofahamiana nao.
Midem mingi ya JF singo maza haina mwelekeo wa maisha ya ndoa

unanitukana kilugha
Unawaibukia kuwatongoza au? Kumbuka wanawake wengi hawapendi kutembe na wanaume waliowazidi umri hasa uwe huna pesa na haiba ya kiume. So issa win win situation.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Uliambiwa ndoa lazima,we mbona hujaoa nawe huna maana,sisi single mom tumekukosea nini kwenu hakuna walozalishwa huko tukiwa na ndoa we unafaidika nini
Watu wengine bana
Watoto wadogo wana shida sana. Utasema kalazimishwa single moms wakati kuna mabinti fresh kibao mtaani.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
wanaume weng sana sana akikupa histry yake ya utoton atakuambia mama alifight sana kunilea... ding hakuwa akisomeka!leo hii haya haya malonyalonya yanakashifu single moms!
angalia wanamuziki weng wamekuwa raised na single parent! matako yake km chips
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwacheni mtoto jamani.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Mwambie huyo dogo lenu awe na adabu atuache single mom hatujawah muomba hata pesa ya chochote iweje atuseme mineno mikali utafikiri anatulisha kuna kipindi aliomba msamaha humu anarudia tena
Cc Raynavero Mzigua90 Shunie
Hujui kuongelea single moms hata kwa mazuri ni sifa. Yani mtu asipotia neno single moms anajiona kama hajakamilika vilee. Muacheni kijana akikua ataacha

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Afazali umesema. Me nlikua kila siku nawaza namna ya kuliongelea hili. Wazee mmetuzidi wanenu
 
wewe Da'Vinci tafadhari sana omba msamaha! KUMBE UNANYALI HVYO KUMBE ULIWA SAIDIWA PESA YA KUJITIBU NA SINGLE MOM??? dah!UNABISHA NIWEKE USHAHIDI?
Mbona hio sio siri.
Acha tu ,vikitongoza humu wanawake vikakosa hasira zinakuwa nyingi ,wakati single mom wengine ni msaada mkubwa tu
Msinitoe roho basi nisameheni. Leo sikukuu ya ekarist takatifu.
Hafu sio kila kitu mnapaniki ndo maana hamuishi kuumwa presha.
 
Back
Top Bottom