MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
peace[emoji106]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peace[emoji106]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hajambo bibi!Labeka, nimekuitika mpenzi.
Mbona tunaendesha maisha kuliko hata yalio kwenye ndoa, hiyo miaka anayosema mingi wengine waliitamani lakin hawakuifikiaUliambiwa ndoa lazima,we mbona hujaoa nawe huna maana,sisi single mom tumekukosea nini kwenu hakuna walozalishwa huko tukiwa na ndoa we unafaidika nini
Watu wengine bana
Ila sadaka Nimetuma kwa tigopesapole !tumkatae shetan!
nakuambia humu nahakika zaidi ya nusu ya watu wa humu mama zao walijifunga kibwebwe wamefika hapa !kuutwa kukebehi tuMbona tunaendesha maisha kuliko hata yalio kwenye ndoa, hiyo miaka anayosema mingi wengine aliitamani lakin hawakuifikia
elli nimecheka ghafla !dah !Ila sadaka Nimetuma kwa tigopesa
Halafu ndiyo story zao mama alifight lakin kutwa kuwa sema single motherwanaume weng sana sana akikupa histry yake ya utoton atakuambia mama alifight sana kunilea... ding hakuwa akisomeka!leo hii haya haya malonyalonya yanakashifu single moms!
angalia wanamuziki weng wamekuwa raised na single parent! matako yake km chips
Yaani sana kuna wanaume full kuheshimiana ila hawa waliosomeshwa na mashemeji walala sebuleni [emoji8]Halaf kuna wanaume humu wa maana sana na wanatuheshimu kweli vinyamkera sasa midomo juu
[emoji23][emoji23][emoji23] umeamua kumshusha pressure mama sabMama sab
hako kabinti kwenye avatar yako ni karemboooo....
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiria kuongea na mme wangu ndio nilale
Ndio kwanza nimebalehe mwaka jana, sina hata ndevu
HahahahaahN
Aaaaa tena ndevu utakua nazo mpaka kwenye mav...zi
Tumkatae na mambo yake yote!pole !tumkatae shetan!
amenTumkatae na mambo yake yote!
Yaani ndiyo ukweli wake, michepuko ya mama yao imewasukuma mpaka hapa walipo, lakini kutwa kuongea upupu mpaka wanatoa jasho kwenye fizi zaonakuambia humu nahakika zaidi ya nusu ya watu wa humu mama zao walijifunga kibwebwe wamefika hapa !kuutwa kukebehi tu
Duu aise kwahiyo ni [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]N
Aaaaa tena ndevu utakua nazo mpaka kwenye mav...zi
Amen kubwaamen
Vitu vingine hata sio siriaz nyie mnavikuzaa. But nisameheni.bora ulivyokuja cool!haya siku mingne hao masela mnaoendana age wakusaidiege!grow up!
SawaHujui kuongelea single moms hata kwa mazuri ni sifa. Yani mtu asipotia neno single moms anajiona kama hajakamilika vilee. Muacheni kijana akikua ataacha
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app