Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Kila mtu anainterests zake humu,kama yako ni MMU na umegundua pamekuloka we timka zako, mkuu Mimi ni under 23 [emoji4][emoji4][emoji4]lakini naenjoy kuvinjali Jamiiforums
Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
 
Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Samahani mkuu...
Hivi unaundugu na Beira Baby Boy....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Maana Duhhhh....
 
Safari njema aisee mnaokwenda fb. Binafsi ni kijana mbichi kabisa ila kule fb sioni chochote cha maana hata kiniweke busy huko
 
Am 22 years old... Huwezi nishawishi nirud fb... Ety jF ni ya wahenga.. Toka 2015 naanza kiijua JF.. Sijajutia hata cku moja kuwa JF zaid ya various benefits nizipatazo humu
 
Lengo kuu la JF ni kutokujuana ovyo ovyo.
Na hilo ndio linatupa uhuru wa kutoa maoni yetu.
 
Aisee.

Kijana wadogo sasa hivi mnatakiwa muwe mmelala, ili mkue.

Nashangaa mnajivinjari tu mitandaoni.
 
inabidi wahenga tuwe na badge,mtu akikujibu post anakuamkia kwanza,😀
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35

Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.

Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.

Nawasilisha
Shule zishafungwa sasa tujioone vituko
 
Dah...umli.com[emoji87] una umri gani?
 
Tupisheni nyie vinuka mikojo,...! Boxer na vichupi vyenu viko na rangi na kijiarufu kati, mkijua kufanya usafi mrudi wavulana ondokeni jf..
 
jf ni mtandao wa kijamii kwa watu wanaojielewa tu na wengi wao kuanzia 28 na kuendelea....
walimu ndio usiseme humu
 
jf ni mtandao wa kijamii kwa watu wanaojielewa tu na wengi wao kuanzia 28 na kuendelea....
walimu ndio usiseme humu
Hahaha sawa mkuu hata ma injinia wapo wapo
 
Back
Top Bottom